Kweli humaanisha?

Ha ha ha Tyta umetisha mkuu
 
Last edited by a moderator:

Wanaume wa kulia huwa ni waongo sana, yani usimuamini kabisaaaaa
 
Mkuu, kama hawataelewa hapa, basi teeenaaaa..... NA shida yao ukikaa kimya wanaona wamedharauliwa.. kumbe we unagugumia
 
Yaani mimi nina matatizo sipendi kuyaona machozi ya mwanaume hovyo nna mmuona kama weak sana kha! akilia kwenye msiba sawa.
 
Mimi nililia kwenye msiba tu , nikimkosea my waifu wangu huwa nasema "ninaomba uniwie radhi, ninajutia kosa langu na sirudii tena" FULLSTOP. nilie ili iweje?
 
Naunga mkono hoja, mwanaume halii!
 
Tunajuwa huwa hamuwezi kuhimili mkiona mwanaume anatoa chozi... And we use the weakness... Yaani hata kama unajuwa kuwa ni maigizo, you cant resist.. this is how you are.. ndivyo mlivyoumbwa

ni kweli tena hujihisi vibaya sana kama ndiye mkosaji loo.kumbe hammaanishi
 
Mimi nililia kwenye msiba tu , nikimkosea my waifu wangu huwa nasema "ninaomba uniwie radhi, ninajutia kosa langu na sirudii tena" FULLSTOP. nilie ili iweje?

kufiki point ya kulia ujue ndoa ndio ilikuwa inayeyuka hivyo
 
Wanaume wa kulia huwa ni waongo sana, yani usimuamini kabisaaaaa

hata mm najiuliza kilio kile cha kweli au mbwembwe tu,siamin kama dume zima linalilia mkewe.
 
Jibu ni hilo lilipo pigiwa mstari. SABABU? There are only three rules that governs husband-wife relationship.

RULE NUMBER 1 : A MAN CANNOT DO A MISTAKE TO HIS WIFE AND THEREFORE, HE SHOULD NOT BE HEARED TO SAY THE WORD " AM SORRY" TO HIS WIFE.

RULE NUMBER 2 : IF HE DO A MISTAKE, REFER TO RULE NUMBER ONE.

RULE NUMBER 3 : IF THE MISTAKE SEEMS TO BE TOO BIG, THE MISTAKE SHOULD BE REGARDED AS A NEW IDEA.
 
Uchungu Ku moyo
 
Attachments

  • 1402493168819.jpg
    17.5 KB · Views: 87
hamna kitu,wanaigiza hao,hata apige magoti alie machozi ya damu inakuwa haitoki moyoni
 
Mkuu, kama hawataelewa hapa, basi teeenaaaa..... NA shida yao ukikaa kimya wanaona wamedharauliwa.. kumbe we unagugumia

mkuu ni kweli, mwanaume hajaumbwa kulia kwa sauti kama mwanaume! jaribu kufuatilia tu utaona!

kilio cha kimya huwa ni kizito sana kuliko kile cha sauti... kuna maumivu sana hapo...

wanawake tambueni hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…