mmmh mimi najua mwanaume anagugumia tuuu
Tunajuwa huwa hamuwezi kuhimili mkiona mwanaume anatoa chozi... And we use the weakness... Yaani hata kama unajuwa kuwa ni maigizo, you cant resist.. this is how you are.. ndivyo mlivyoumbwanauliza mwenzenu pale mwanaume anapoomba msamaha mpaka machozi yanatoka huwa mnamaanisha au maigizo tu.
nimewahi kushuhudia mara nyingi katika situation tofauti,my hubby once sasa jana shemeji yangu(hubby of my friend) alikuwa akimwomba msamaha mke wake mpaka analia kama amefiwa khaa!
naombeni uzoefu hapa ni maigizo au kweli anakuwa anajutia ndio mpaka machozi?
fanya analysis pale mwanaume anapokuwa amefiwa na mpendwa wake, yani mtu wake wa karibu...
maumivu ya kugugumia ndio maumivu yanayoumiza na ndio maumivu haswaa yanayotoka moyoni...
Hicho ndicho kilio halisi cha mwanaume... kugugumia, sio kutoa makelele!
A man was created to cry in a silent mode.
mmmh mimi najua mwanaume anagugumia tuuu
mwanaume wa kulia aisee mimi siwezi kanikosea nampa masharti tu atimize akiweza namsamehe akishindwa na mpa adhabu nyingine kali zaidi ya kuprovide eco..........ly
wanaume wasanii jamani....hapo utasema kamaanisha kumbe.....akitoka hapo anaenda kushushia kabia vimachiz alivyotoa
Analia kwako machozi akitoka hapo anaenda kumlilia mwanamke mwingine na magoti anapiga.achana na mwanaume akitaka cha uvunguni
mmmh najumimi a mwanaume anagugumia tuuu
Itakua ngumu hadi nilie