ila mchoraji kajitahidi. kamchora vizuri sana huyo mamaKabisa wangu wangetumia lugha ya taifa tu.
Uzuri wako(Kijana wa kiume) ni jukumu langu"Kupendeza kwako ni jukumu langu"
Kabisa wangu wangetumia lugha ya taifa tu.
.. mbona hapo wametumia lugha ya taifa? .. kiingereza & kiswahili zote ni lugha rasmi za taifa letu. kati ya hizi hamna lugha ya taifa zaidi ya ingine
Sio kwamba mwanume wako mzuri ni kazi yangu ?"Kupendeza kwako ni jukumu langu"
Sasa kama alihimiza tuachane na lugha za mkoloni kwanini hakufuta kiingereza ili kibakie kiswahili tu?au ni sharti kuwa na lugha mbili za taifa?Mwalimu Nyerere alituhimiza kupenda lugha ya taifa na kuachana na lugha ya mkoloni.
Sasa kama alihimiza tuachane na lugha za mkoloni kwanini hakufuta kiingereza ili kibakie kiswahili tu?au ni sharti kuwa na lugha mbili za taifa?
Ila akaweka Kiingereza kwenye katiba kama lugha inayotumika kufundishia na kwenye ofisi za serikali!Mwalimu Nyerere alituhimiza kupenda lugha ya taifa na kuachana na lugha ya mkoloni.
Mimi nilianza kuelewa kiingereza nikiwa form 3, kabla ya hapo nilikuwa nakariri tu.Ile ilikuwa kali, tunakwenda na somo moja la Kiingereza mpaka darasa la saba na form one unakuta masomo yote Kiingereza.
Dar hiyo makongo juuSijui wapi hiyo, wangeandika kilugha tu wangeeleweka