Kweli hii lugha ilikuja kwa meli

Kweli hii lugha ilikuja kwa meli

inaonekana ni kijijini sana. hicho kibanda? unaweza ukaanza kunyolewa kikakuangukia!
 
Ametufunga kifungo cha maisha, inahitaji jitihada za ziada kujinasua.
Halafu unajua sisi Watanzania akili zetu kama kuku, Wazee wetu wakati wa ukoloni wamesoma na wanaongea lugha mpaka tatu lakini sisi tuliozaliwa baada ya uhuru matatizo matupu kwa elimu. yaani kiswahili hatukijui seuze hicho kichunguchungu YES no, NO yes huku tunakenua meno.
 
Tuna kazi sana, si katika soko la ajira tu, hata kama umeamua kuwa mjasirimali kupeleka biashara yako kwenye East Afrika Market unajifikiria hata ile constraction ya business plan inapiga chini.
 
Hio kweli kabisa halafu atatokea mpumbavu atasema ati hatuhitaji lugha ya mkoloni wakati simu,computer,tv,elimu lazima uijuwe lugha ya mkoloni ndio uweze kuvitumia hivyo vitu. Katika afrika mashariki yote Tanzania tu ndio english zero lakini nchi zote zipo poa kabisa. Kuna msela wangu alikwenda marekani akaona sign inasema restroom yeye alidhania ni chumba cha mapumziko kumbe ni chooni.
 
Kuna mshikaji wangu alikuwa kichwa vibaya sana wote tulikuwa tunamwogopa kwa grammar, alipata A English form four. Anyway nilikutana nae ananiambia alipigwa scholarship ya Masters US, amefika McDonald ananunua chakula wahudumu hawaelewi pronunciation yake.
 
😀😀😀 hio kweli unajua lafudhi zetu zinawachanganya sana ukiorder sprite wanakupa fries. halafu wamarekani hawakukosoi kama waingereza wao hukuwacha tu. Nakumbuka home wakija waingereza nikiongea nao nikikosea watanikosoa lakini wamarekani wao husema yeah yeah it's okay. hawana kukukosoa.
 
IMG_1702.jpg
Na kweli kilikuja na meli na ambaye hakuwa bandarini kuipokea meli katoka kapa.
 
Back
Top Bottom