Nilikuwa kwenye kikao Jumapili iliopita cha rafiki yangu...sasa rafiki yangu akafika kwenye kikao amechelewa huku akiwa na binti aliyekuwa ameongozana naye akawambia washikaji alikuwa kwenye mchepuko baada ya bia kukolea washikaji wakaanza kumwita yule binti shemeji ndipo wazee waliposhituka na kuanza kuhoja shemeji kwa nani jamaa alipoona hali inakuwa mbaya ikabidi amwombe mshikaji mmoja pale kwenye kikao abebe dhamana yule binti ni mchumba wake ila wazee walimwakia mshikaji mbaya.
Alimanusura kikao kivunjike mzee mmoja akawa anahoji mna uhakika huyu mtu hajawahi kupeleka barua ya posa kwa mtu mwingine kabla ya huyu binti anayemwoa"? Yule mzee anazungumza kwa kujiamini huenda kuna kitu anajua.