Kweli hakuna mwanamke mbaya

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,345
1,418
Kweli nimeamini hakuna mwanamke mbaya ni matunzo tu.
Nilikua na mda mrefu toka niondoke kijijini kwetu nije mjini.
Jana sikuamin nilikutana na mke wa kaka yangu ambaye kipindi anaolewa alikua amechoka na watu wengi walimdhalau na kumuita majina mengi mabaya.
Moja nalolikumbuka ni lile la dada yule mwenye kiuno cha kushoto......

Leo ukikutana naye haki ya nani uwezi mpita bila kukegeuza shingo,mwanamke kafungashia mzigo ni nooma, shingo imejaa pingiri, macho sasa usiseme........!!!

Hama kweli usimdhalau mtu kabla hajafa.

Hakuna demu mbaya ni matunzo tu.
 
Siyo Demu tu.

Katika maisha usimdharau mtu yoyote, na wala usimdharau mtu usiemjua.

Linapokuja suala la tako, tako la Mwanamke lina siri kubwa sana, wewe hujawahi kuona Mlimbwende ambae hukuwahi kumuingilia ukimwangalia na nguo zake unaona kawaida, ila siku utakayokuwa nae, akichojoa unaweza ukastuka, na kujiuliza,

Huyu tako lote hili kalitoa wapi?!
 
Hakuna ke mbaya duniani mi naona kunawazuri na warembo,ambao hao warembo ndo wanaitwa wazuri na wazr wanaitwa wabaya but wte tuko sawa ni life tu ndo linatujengea matabaka!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom