Dada, wameshakubali matokeo! Walitukana taasisi za kitafiti wee lakini wameona mwisho. Na ule uzushi wa jana ndiyo wamewavunja moyo wale wachache wenye chembe ya intelligence waliojua Lowassa kuhamia ilikuwa strategic move. Sasa wameona hakuna anayehama wala nini. They are stuck na Lowassa, Mgeja na Masha. Bunch of loosers.
Sasa wamebaki na uzushi tu na kubwabwaja.
Very sad kuangalia jinsi chama chenye potential kama Chadema ikipotea taratibu!