JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Wana jf...kweli leo nimeamini wabunge wa ccm ni vichefuchefu....spika amerudisha muswada wa maoni ya katiba wao wanapiga vigelegele na kushangilia bila aibu eti ccm ccm ccm ni aibu kubwa sana,
wamenyamazishwa na lema au kabwe kama sukosei maana sikumuona vizuri akisema shangilieni vizuri maoni ya chadema...nauliza swali kuna mbunge gani wa ccm aliye bungeni sasa hivi aliyetoa maoni kupinga muswada huu wa katiba?
Dah kweli itabidi hata jk ampigie Dr wa ukweli magoti na amuheshimu kama kiongozi wake, thanks Chadema's team