Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
CCM imetufanya tumekuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe. Migodi yote wamekabidhiwa wageni na bado haichangii kama tulivokuwa tunachangia sisi pamoja na vifaa vyetu duni. Angalia wafanya biashara ndogondogo wanavyo hangaishwa lakini pia angalia mfumuko wa bei, CCM nani àtawapenda na kwa lipi?