we asee, mi sijakuelewa ujue!Viongozi wa kislam ongeeni msiludi nyuma
kwa mujibu wa katiba ya nchi ni makosa na hairuhusiwi kukagua au kutoza ushuru wala mapato kwenye sadaka,Wazee wanataka aoneshe hizo hela nyingi alizonazo kuliko Serikal
'Serikal imshughulikie kwa Njia za Azimio la Arusha'