ACADEMIA TODAY
Senior Member
- Jun 7, 2013
- 179
- 86
Poleni sana Dada na mama zetu!!! Tunatofautiana sana kimtazamo kuhusu wanawake! Baadhi yetu hatuafiki kashfa na kejeli zinazotolewa dhidi yenu.
Tunatambua michango yenu na umuhimu wenu katika maisha.
Nataka mfahamu ninyi ni zawadi kubwa kuliko zote Mwenyezi Mungu alizowahi kumpa Adam.a.k.a. ME.
Hivyo basi maneno machafu yanayotolewa dhidi yenu yasiwakatishe tamaa, chukulieni ni STRESS za baadhi yetu za maisha.
Hali ngumu ya uchumi imebana kiasi cha kufanya wanaume washindwe ku reason out..., Tatizo la kiuchumi ndilo linalosababisha tukwepe wajibu na majukumu yetu, hivyo kupelekea kutoa povu dhidi ya wanawake... Am sorry to say this, but it is the truth!!
Hata performance ya sex imeshuka simply bcoz, we can't afford proper food, and the like.
Mbaya zaidi Ina frustrate unapotamani type fulani ya mwanamke halafu huwezi kumpata since you can't afford to take a good care of her....
Hizi ni stress za UMASIKINI.
Poleni kwa kuwa victims, ila msijali tunawathamini na kuwaheshimu!!!
BIG UP TO ALL MAMAS a.k.a WOMEN!!!
Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.
Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.
Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.
Pole sana mdada,
Uyasemayo ni point tupu.
1) Kwanza kwa niaba ya 'Sensible men' nikuombe samahani as si wanaume wote tuna msimamo huo
2) Pili mvumilie jamaa pia kwa sababu inawezekana si kosa lake bali ni polished point of view itokanayo na watu wanaomzunguka. Kama wanawake wanaomzunguka wengi wako hivyo obviously hiyo ndo tasfsiri yake ya wanawake. Kuna watu wamepitia maisha magumu kiasi kwamba akiongea unasikitika.
3) Msamehe bure huwezi jua hao wanawake waliomzunguka wamemfanyeje + Natural habit ya mwanadamu kukuza(exaggerate) mambo.
mhhh my babu upo huku nilikuwa nakutafuta nikuulize hivi eti kwani na we bibi anakuuziaga?afu nimekumisije babu???????em nichum mjukuu bana niridhike mie.
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....
EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Tena ushindwe na ulegee. Bibi yenu siyo chumvi tafazali.
Hilo la kuchum hebu twende tukamaliziane PM kule. Nna stock kubwa sana ya mahaba yako.
Shukrani mpwa maana kipande hii sikuwa nimetia maguu muda kidogo
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa babu umenipaje raha miye???????sasa babu ndo uone watu wanavyokera wenzao tokea lini bibi na wanawake wakawa chumvi iuzwayo dukani?babu yangu em wagombeze banah waache hiyo tabia siyo nzuri ujue?
jf unapata kila kitu
it is a stress free zone
n a source of stress pia
ile thread imenitia hasira
Masista huwa hamuuzi. Hasira ya nini? Nyie si ndo mnatufundisha tusameheane?
nasi ni binadamu tunajaribiwa kama wanavojaribiwa wengine
kwa hiyo isikushangaze..halafu,sote tunafundishwa kusamehe na neno la Mungu..
Umeongea maneno mengi bi dada hebu kunywa maji kwanza.
Nalog off
jf unapata kila kitu
it is a stress free zone
n a source of stress pia
ile thread imenitia hasira
Masista huwa hamuuzi. Hasira ya nini? Nyie si ndo mnatufundisha tusameheane?
nasi ni binadamu tunajaribiwa kama wanavojaribiwa wengine
kwa hiyo isikushangaze..halafu,sote tunafundishwa kusamehe na neno la Mungu..
sister yule mleta mada kawaida yake kuropoka maneno machafu alikuja kwa ID yake iliyozoeleka akaomba msamaha eti amekuja kwa amani baada ya kula ban na kuwadhihaki mods, nilijua tu hajabadilika chochote ni vunga tukatika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....
EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Kujaribiwa siyo kuuza, sista Magdalena.