Nawayatafakari sasa,huyo unaemuita malaya anajiuza ndio huyo aliekubeba miezi tisa na kukuzaa kwa uchungu.....
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....
EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Kuna emosheno kriminoloji, waachhe wambwelembwele tu
Wengine DNA zinawafanya watelekeze watoto. Si unajuwa 48% ya wababa wanalea watoto wasio wao..??!!!Somtyms huwa nikiona mtoto baba kamtekelza mtoto nahis labda may b it was a busines na mkataba ulishaisha!Tamaa mbaya sn
Acha kujeneroraizi bana, kama wewe ni chanzo basi ni wewe, wengine siyoDah mi mwanaume lakini imeniuma kuona jinsi mlivyozalilishwa katika ile thread. Nawapa pole dada zangu mama zangu na shangazi zangu. Na haya yote yaliyoongelewa hapa ni kwelh mtupu na nakubali kuwa ''SISI WANAUME NDIO CHANZO CHA YOTE''
Wanaume tujiheshimu na tulizike na tuliokuwa nao.
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....
EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Dah mi mwanaume lakini imeniuma kuona jinsi mlivyozalilishwa katika ile thread. Nawapa pole dada zangu mama zangu na shangazi zangu. Na haya yote yaliyoongelewa hapa ni kwelh mtupu na nakubali kuwa ''SISI WANAUME NDIO CHANZO CHA YOTE''
Wanaume tujiheshimu na tulizike na tuliokuwa nao.
Ooh kumbe....kuna threads nyingine inabidi watu wajifunze kuzipuuzia.
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....
EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Hivi kuna jambo gani linaendelea hapa...
Ile thread inawezekana ndo the best ktk huu mwaka,!kabla ya kuanza kulaumu,kuhuzunika,kulaani,na kujionea huruma ,naona ingekuwa vyema mngemprove wrong mtoa mada wa mwanzo! Msijibu emotionally your great thinkers jamani !la sivyo jamaa ataonekana mkweli,sababu huu ni uzi wa tatu naona unaijibu ile mada!halafu mmeanzisha nyuzi nyingine nje ya uzi mkuu hilo nalo naona tatizo,poleni ila ukweli unauma
ile thread inawezekana ndo the best ktk huu mwaka,!kabla ya kuanza kulaumu,kuhuzunika,kulaani,na kujionea huruma ,naona ingekuwa vyema mngemprove wrong mtoa mada wa mwanzo! Msijibu emotionally your great thinkers jamani !la sivyo jamaa ataonekana mkweli,sababu huu ni uzi wa tatu naona unaijibu ile mada!halafu mmeanzisha nyuzi nyingine nje ya uzi mkuu hilo nalo naona tatizo,poleni ila ukweli unauma
Mwanaume asiye mheshimu mama ake alaaniwe yeye na kizazi chake.
Ole wenu! Ole wenu! Ole wenu mnaojipa moyo kuwa wanawake wanajiuza na kuendelea kuwafanyia maovu.
.
Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.
Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.
Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.