Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

Watu bwana sasa kama Kusoma Hujui hata kuangalia picha nako hujui?umeshaambiwa mambo yalivyo bado unang'ang'ania.Mi nawashangaa sana kina dada hapo ujue mapenzi hakuna tena mbona mambo yako wazi?unalazimisha mkirudiana akawa sio muaminifu utamlaumu mtu?Ama kweli kina dada mwalimu wenu kipofu
 
bora huyo kakuambia, mshukuru sana.

Ila ningeweza kumwita na yeye akasema story yake ndio ningeamini.

Kuna wanawake wana mambo.

Ndo ukubwa!

Hapo umenena, yaani kweli kuna wanawake ambao sijui wanawaza nini kuwatendea haya wanawake wenzao! Ila what goes around, also comes around!
 
Unadhani ataishia kwa waganga wawili watatu, sia ajabu kesho ukasikia yuko sumbawanga :biggrin:

wanawake muache kuamin katika uchawi. hivi fazaa munaona raha mnavyo wageuza waume zenu madondocha? Muachane na mamba ya limbwata. Mtatuua mtumalize kama ndo hivi aisee!.
 
Last edited by a moderator:
wanawake muache kuamin katika uchawi. hivi fazaa munaona raha mnavyo wageuza waume zenu madondocha? Muachane na mamba ya limbwata. Mtatuua mtumalize kama ndo hivi aisee!.
Hahaha fazaa na faiza ni vitu viwil tofouti kabisa :biggrin:
 
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....Thanx..


Pole sana sister, lakini pia mshukuru Mungu amekuonyesha usaliti wa Mchumba wako mapema, kuliko ungegundua wakati mmeshafunga ndoa. Piga moyo konde, ingawa inauma sana na ni ngumu kusahau, Mwombe Mungu na amini yuko utakayempata atakaye kuheshimu.
 
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....Thanx..


Laiti huyo jamaa yako angekuambia uachane na mchumba halafu wewe katika mawasiliano mchumba angekuwa anakujibu, ningeshawishika kukuambia kwamba endelea na mchumba wako katika ile safari yenu, lakini kwakuwa umeambiwa halafu mchumba kwa matendo yake ya kutopokea simu yako na kutokujibu sms zako ni kama anadhihirisha kwamba ulichoambiwa ni kweli, basi nashawishika kukutahadharisha dhidi ya mchumba huyo na ikiwezekana upime.

Lakini kuna kaujinga fulani kwa upande wa Rafiki yako huyo wa kiume, kwani ukichukua mchumba wa mwenzio matusi ni ya nini tena? Tafakari, chukua hatua!
 
Mwanamke mwenzio kakujibu hivo? ukamwangalia tu?
sasa ulitaka amng'ate sikio kama Mike Tyson na Evander Holyfield? Watu wenyewe wa siku hizi wakisukumwa kidogo tu wameng'oka

hapo njia panda unatafuta nini?
hana tena option jamani, ndo amependa hapo, wewe mwenyewe ni shahidi kumuacha umpendaye inauma kuliko kuugua malaria

pole sana

anza upya......funga ukurasa
huu ni ushauri mzuri sana lakini sio rahisi kwake yeye kuutekeleza kwa sasa hasa kutokana na mazingira yenyewe ya rafiki kumfuata na kumweleza live bila chenga kuwa yeye ndie anajilia mambo
 
muanzisha thread mwenyewe naona kaikimbia. au anajililia pembeni?
 
Shukuru, jipende, linda furaha yako, kilb jambo linalotokea chini ya jua lina kusudi lake! Songa mbele....
 
pole mamie, mshukuru Mungu kwa kila jambo. songa mbele,huenda kuna kitu umeepushiwa.amini usiamini muda c mrefu utajua ni kwann ilitokea hvo.me mwnywe ishantokea nliachwa na mkaka akaoa mdada mwngne ingawa hakuwa rafk yangu.bas saiv hyo mdada analalamika mumeme mlev,muhuni na hamjali. huyo hakuumbwa kwa ajil yako mdada wako yupo.piga moyo konde japo inauma!
 
Sala zinasaidia, wewe sali omba amani isiwajie kabisa. Maneno ya mtu aliyedhurumiwa ni mazito sana kama weye upo clean.

Waache waende zao, malipo duniani. Kama unayeanayekutaka uhusiano basi songa mbele ukiwa tayari najua ni ngumu ila ndo maisha. Sali

Ila kama unatania ya kusumilia kitu mashostio kuhusu bwana wako acha kabisa kabisa. Labda umemsifia sana hadi huyo kakuibia labda hata kwa mganga kaenda.

Ila usijali. Pole najua inauma pole sana. Usiwatafute waachie kaa kimya utaona wao ndio wataona hivi huyu hatujamuumiza.

Acha kumtafuta mchumba tayari alishajua umeambiwa news hiyo na ndio maana amekukatia.
 
This is a man eating man society. Wewe kuwa mpole tu maana utampta mwingine na usishangae ikawa na wewe umempora mtu.
 
Nimeshtushwa na ujumbe, ulionitumia
Kupitia kwa jirani yetu ambae huwa anatusuka
Umesema ukiniona ama zangu ama zako
Aaah sababu eti namfuata fuata mumeo
Shoga unanionea bure
Shoga sina kisa na wewe
Ushoga wetu ulianza tangu utoto
Tulichezea vifuu na sasa tuna wajukuu
Ooh sipendi matata
Naogopaaaaa....
 
Wake up...au unataka hadi uunguzwe uso na pasi..au kama vipi,Baki hapohapo njiapanda....
 
Tumia u CCM hapo (Chukua Chako Mapema)..Maambukizi mapya..ukitaka waachane mweleze jamaa ameambukizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom