Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,056
- 79,399
KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa dini na madhehebu mengine na wale wasio na dini.
Jambo hilo likafanya baadhi ya Kwaya za Tanzania sizizo na ubunifu na waalimu wafuata Mkumbo kuiga ili nao wapitemo na upepo wa Ambassador.
Kwa upande wangu, mimi navutiwa na uimbaji wa Kisabato ule wa kale, wazamani. Yaani ili nibarikiwe na nisikie Wasabato wameimba basi style ya kizamani ikitumika ndio inanibariki. Na sio mimi tuu bali watu wengi.
Moja ya vipaji nilivyo navyo ni kuwa na jicho la kuona na sikio la kusikia.
Yaani kujua kitu kizuri kwa kusikia kwa kweli hapo namshukuru Mungu
Niliwahi waambia wanakwaya Wakitanzania hasa zile kwaya Kubwa. Waendelee kuimba kama zamani kama ni ubunifu wabadilishepo kidogo..
Sasa kwa bahati mbaya, kwaya nyingi zimejikuta zikiiga uimbaji wa Ambassador na kuua ile Identity yao.
Mwisho wa siku wamepotea kwenye ramani na anga la uimbaji.
Ile taste ya nyimbo za kitanzania za kisabato imekata lakini hii ni kwa Makanisa hasa ya Mjini ambayo mengi yao yakiimba hupata ule utamu wenyewe wa uimbaji.
Kwaya ambazo zimebaki kwenye nafasi ni Kurasini na Mbiu Kwaya. Hizi kwa huku Dar es salaam zinatumia style ya kale na zinafanya vizuri. Kwa Arusha kuna Njiro kwaya ile ya Kishindo cha Wakoma
Barikiweni.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam