Kwasasa Rais Samia amembakiza Kassimu Majaliwa tu!

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Mama ameshafanya mabadiliko kwenye kila eneo nyeti na leo amegusa usalama wa taifa.

Tayari alishamaliza IGP, CDF, Spika, Takukuru, n.k bado serikali yake tu ndio hajaunda.

Majaliwa hatoboi 2023 hii. Itakuwa kwa zengwe, fitina, kashfa au chochote ila haendi mbali.
 
Kuna ubaya gani akiunda serekali yake?

Magu alibaki na IGP, CDF, SPIKA na WAZIRI MKUU wa Kikwete? Mkapa alibaki na wa Mwinyi?

Acheni nongwa. Kila Rais huweka watu wake, ni jambo la wazi kabisa

Wewe uliona wapi duniani hapa Rais akibadilika Hawa watu wote wanabakia maofisini?
 
Majaliwa amefanyaje tena jmn??
 
Mama ameshafanya mabadiliko kwenye kila eneo nyeti na leo amegusa usalama wa taifa.

Tayari alishamaliza IGP, CDF, Spika, Takukuru, n.k bado serikali yake tu ndio hajaunda.

Majaliwa hatoboi 2023 hii. Itakuwa kwa zengwe, fitina, kashfa au chochote ila haendi mbali.
Ni wivu tu. (Askof Gwajima)
 
Kuna ubaya gani akiunda serekali yake?

Magu alibaki na IGP, CDF, SPIKA na WAZIRI MKUU wa Kikwete? Mkapa alibaki na wa Mwinyi?

Acheni nongwa. Kila Rais huweka watu wake, ni jambo la wazi kabisa

Wewe uliona wapi duniani hapa Rais akibadilika Hawa watu wote wanabakia maofisini?
Wewe ndio mwenye nongwa. Kumbe ni jambo la kawaida shida nini?
 
Mama ameshafanya mabadiliko kwenye kila eneo nyeti na leo amegusa usalama wa taifa.

Tayari alishamaliza IGP, CDF, Spika, Takukuru, n.k bado serikali yake tu ndio hajaunda.

Majaliwa hatoboi 2023 hii. Itakuwa kwa zengwe, fitina, kashfa au chochote ila haendi mbali.
Takukuru amebadilisha lini?
 
Kuna ubaya gani akiunda serekali yake?

Magu alibaki na IGP, CDF, SPIKA na WAZIRI MKUU wa Kikwete? Mkapa alibaki na wa Mwinyi?

Acheni nongwa. Kila Rais huweka watu wake, ni jambo la wazi kabisa

Wewe uliona wapi duniani hapa Rais akibadilika Hawa watu wote wanabakia maofisini?
Waziri Mkuu alitokana na wabunge waliochaguliwa 2020. Uchaguzi ndio uliweka Serikali iliyopo, kufariki kwa Magufuli kulimuondoa Mkuu wa Serikali hakukuondoa Serikali iliyochaguliwa 2020.

Kufanya mabadiliko ni utashi na mamlaka yaliyo chini yake mhe Rais. Hata hivyo hakuondoi kuwa Serikali hii iliwekwa kwa uchaguzi 2020
 
Back
Top Bottom