Kwasasa MOSSAD ndilo shirika mahiri kwa ujasusi duniani

Kwasasa MOSSAD ndilo shirika mahiri kwa ujasusi duniani

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,509
Reaction score
1,115
Hakuna wasiwasi wowote kwamba mashambulizi ya Israel ndani ya Iran yaliyopelekea kushambuliwa kwa vinu vyake vya nuklia na kuuwawa kwa makamanda wake wa kijeshi pamoja na wanasayansi wake wa juu kabisa ya nuklia yamefanikiwa kwa taarifa nyeti na ujasusi mahiri kutoka Mossad, bila ujasusi mkali yasingefanikiwa kwa ufanisi huo

Tumeona pia Israel ilivosambaratisha Hezbolah na uongozi wake wote sa ivi hezbolah wamebaki wapiga porojo tuu kama shehe ubwabwa Adiosamigo na wenzake. kwa sasa Mossad ni best kuliko hata Rusia Intelligency Agency

Iran ilikua inapewa tuu sifa za vijiweni
 
Mossad set up drone base in Iran; UAVs were activated overnight to strike surface-to-surface missile launchers aimed at Israel

walitengeneza base ya kurushia drone ndani ya Iran

hawa jamaa ni another level
 
Back
Top Bottom