Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
Nimesoma thread za baadhi ya wanafunzi waliochaguliwa SUA kuulizia taratibu za kubadilisha kozi walizochaguliwa. Ukweli ni kuwa kozi nyingi kama si zote pale chuo zimejaaa.SUA si kama ya zamani. Huu utaratibu wa wanafunzi kuomba chuo moja kwa moja umesababisha vijana wengi kuomba vyuo vyenye sifa mtaani SUA ikiwemo. Na ikumbukwe kuwa SUA si chuo kikubwa kiivyo. Nimefatilia nilienda kuulizia nafasi baada ya mtoto wa kaka yangu kukosa kabisa nafasi kwa njia ya mtandao. Siwakatishi tamaa ni ushauri tu!!