Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 389
- 553
Hivi kipindi hiki cha upungufu wa maji.
Kinachosababisha upungufu wa uzalishaji wa umeme.
Kukabiliana na hili kwann kusiwe na njia za dharura kama.
Ukame husababishwa na jua kali kwa kipindi cha muda mrefu, kwa maana hiyo ingetakiwa tutumie nishati ya jua badala ya maji kuzalisha umeme.
Vilevile hua kuna upepo, hivyo tungetumia upepo pia kuzalisha umeme.
Hizo njia mara nyingi hazina gharama sana ukilinganisha na gas na mafuta.
Pindi maji yanapopungua tunatumia njia hzo kama dharura.
Serikali inakwama wapi?
Ngoja nimalizie kuvuta zangu bhange nije na wazo jengne