Kwaresma na Pasaka Special Thread

Tuendelee kuyaombea mataifa yaliyopo kwenye vita kama Iran na Israel na America
 
Naendelea kuwaombea watumishi wa MUNGU

Mfanikiwe katika saum zenu
 
Tuendelee kuwa wakarim kwa wenzetu hasa hasa wahitaji
 
Ukristo hauwez kukamilika kama bado unaendelea kutenda dhambi

Lazima tufanye toba kwa nguvu zote na matendo yetu yaoneshe wazi kuwa tumeziacha dhambi na hatuzirudii
 
Usiingie kwenye mfumo wa wapinga MUNGU hata kama watakupa maneno matamu kama juice

Ukifa utazikwa peke yako ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…