Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,028 Reaction score 42,339 Apr 20, 2025 Thread starter #601 Bwana atuoshe na zambi zetu tuyaanze maisha mapya ya kiroho
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 20, 2025 #602 kiss daniel said: Ulikosea sana Click to expand... Kawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too..
kiss daniel said: Ulikosea sana Click to expand... Kawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too..
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 20, 2025 #603 Beira Boy said: Bwana atuoshe na zambi zetu tuyaanze maisha mapya ya kiroho Click to expand... Hata kiswahil tu nacho kinakupiga chenga ndugu yangu, au ndio uzembe mdogo mdogo
Beira Boy said: Bwana atuoshe na zambi zetu tuyaanze maisha mapya ya kiroho Click to expand... Hata kiswahil tu nacho kinakupiga chenga ndugu yangu, au ndio uzembe mdogo mdogo
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 20, 2025 #604 kiss daniel said: BWANA amefufuka tuimbe aleluya Click to expand... Haleluya.. Kiswahil ni kigumu namna hii??
kiss daniel said: BWANA amefufuka tuimbe aleluya Click to expand... Haleluya.. Kiswahil ni kigumu namna hii??
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,028 Reaction score 42,339 Apr 20, 2025 Thread starter #605 Fanton Mahal said: Hata kiswahil tu nacho kinakupiga chenga ndugu yangu, au ndio uzembe mdogo mdogo Click to expand... Hii ni zambi ya kibiblia siyo ya kidunia
Fanton Mahal said: Hata kiswahil tu nacho kinakupiga chenga ndugu yangu, au ndio uzembe mdogo mdogo Click to expand... Hii ni zambi ya kibiblia siyo ya kidunia
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 20, 2025 #606 Beira Boy said: Hii ni zambi ya kibiblia siyo ya kidunia Click to expand... Acha maneno bwanaa 😂😂
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,028 Reaction score 42,339 Apr 20, 2025 Thread starter #607 Fanton Mahal said: Acha maneno bwanaa 😂😂 Click to expand... Dhambi kidunia huandikwa hivyo Zambi huandikwa hivi kibiblia mtumish
Fanton Mahal said: Acha maneno bwanaa 😂😂 Click to expand... Dhambi kidunia huandikwa hivyo Zambi huandikwa hivi kibiblia mtumish
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 20, 2025 #608 Beira Boy said: Dhambi kidunia huandikwa hivyo Zambi huandikwa hivi kibiblia mtumish Click to expand... Heb onyesha mahala inaandikwa hivyo mtumishi? Nipe aya kadhaa .
Beira Boy said: Dhambi kidunia huandikwa hivyo Zambi huandikwa hivi kibiblia mtumish Click to expand... Heb onyesha mahala inaandikwa hivyo mtumishi? Nipe aya kadhaa .
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,441 Apr 21, 2025 #609 Fanton Mahal said: Kawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too.. Click to expand... Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewa
Fanton Mahal said: Kawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too.. Click to expand... Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewa
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,441 Apr 21, 2025 #610 Fanton Mahal said: Haleluya.. Kiswahil ni kigumu namna hii?? Click to expand... Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifa
Fanton Mahal said: Haleluya.. Kiswahil ni kigumu namna hii?? Click to expand... Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifa
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,441 Apr 21, 2025 #611 Leo ni jumatatu ya pasaka Siku ya ubatizo kwa watoto wachanga
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,336 Reaction score 5,679 Apr 21, 2025 #612 Pasaka yetu ikawe na manufaa ya kiroho
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,336 Reaction score 5,679 Apr 21, 2025 #613 Kufufuka kwa BWANA YESU kukalete tumaini jipya katika ROHO zetu
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,336 Reaction score 5,679 Apr 21, 2025 #614 Kufufuka kwa BWANA WETU YESU KRISTO kutukumbushe hakuna mateso yasiyo na mwisho
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,336 Reaction score 5,679 Apr 21, 2025 #615 Kwaresma yetu ilikuwa kwaresma ya mateso yenye faida Hivyo tusikate tamaa kuulekea msalaba
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,336 Reaction score 5,679 Apr 21, 2025 #616 Pasaka njema kwenu nyote
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 21, 2025 #617 kiss daniel said: Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifa Click to expand... WEwe umeandika kwa lugha gani na umewaandikia watu wa taifa gani. punguza janja janja
kiss daniel said: Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifa Click to expand... WEwe umeandika kwa lugha gani na umewaandikia watu wa taifa gani. punguza janja janja
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 21, 2025 #618 kiss daniel said: Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewa Click to expand... Sasa wewe kijana mdogo namna hiyo unifundishe mimi juu ya kuwajibika? Una watoto wangapi kwanza tuanzie hapo!?
kiss daniel said: Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewa Click to expand... Sasa wewe kijana mdogo namna hiyo unifundishe mimi juu ya kuwajibika? Una watoto wangapi kwanza tuanzie hapo!?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,028 Reaction score 42,339 Apr 22, 2025 Thread starter #619 Fanton Mahal said: Heb onyesha mahala inaandikwa hivyo mtumishi? Nipe aya kadhaa . Click to expand... Ngoja nipekua bible hapa
Fanton Mahal said: Heb onyesha mahala inaandikwa hivyo mtumishi? Nipe aya kadhaa . Click to expand... Ngoja nipekua bible hapa
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Apr 22, 2025 #620 Beira Boy said: Ngoja nipekua bible hapa Click to expand... Huwezi pata mpaka Yesu anarud kijana wangu, unayeongea nae hapa Bible imelala kichwani.😂. Naisoma bible from Mwanzo to ufunuo na kuimaliza yote every year for 3 yrs now
Beira Boy said: Ngoja nipekua bible hapa Click to expand... Huwezi pata mpaka Yesu anarud kijana wangu, unayeongea nae hapa Bible imelala kichwani.😂. Naisoma bible from Mwanzo to ufunuo na kuimaliza yote every year for 3 yrs now