Kwaresma na Pasaka Special Thread

Leo ndo siku ya mwisho ya kwaresma
 

Attachments

  • Screenshot_20250419-160544.png
    651.7 KB · Views: 10
Dunian inabidi ujikamilishe wewe kama wewe, nje ya hapo utaonekana mswahili au huna akili

Kama huna kitu hakuna atakaye kusikiliza
Kama huna kitu halafu unajifanya unakijua hicho kitu kunafanya uonekane mchawi aliyekubuhu.
 
Na hata kama ukipata shida hakuna mtu ambaye atataka akusikilize na shida zako

Ni changamoto sana
Mkiwa mnacheka wote utafikiri mnapendana na hutakosa msaada kumbe siku ukipata tatizo Kila mtu ana disappear.

Cheza kwa akili na wanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…