Kwapa la mpenziwe linamkera msaidieni

Kwapa la mpenziwe linamkera msaidieni

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27.Ninauhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa.

Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo mapenzi huwa nashikwa na chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu.

Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.

Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake.

Jamani, naombeni msaada ili uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu.

Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana MMU wenzangu labda akiingia JF atasoma maoni yenu.
 
amsugue na limao na sukari pia ampake deodorant
 
kumbe limau inasaidia eeh dozi yake amsugue mara ngapi kwa siku?
cc Smile

Ni dawa kweli......hata asipoweka na sukari akamsugua na yale maji ya limao anakamua then anansugua......anakaa nayo kama dakika 10 ananawa......inakata harufu na pia inakata jasho......kama akiweza mara mbili kwa siku....
 
Usimfanyie soup mana soup zina bacteria nyingi lakini zinasaidia katika mapigo, labda wewe mwanamke unapenda sana kipigo cha soup kwa hio lazima uvumilie kijasho cha kwapa, kama unampikia mme wako soup ya miguu ya beberu.

Research zingine zinasema wanawake wengi sana wanapenda kunusa kwapa la waume zao, we naona uko vingine kabisa na wanawake wengine.
 
pole bestito kwa masahibu hayo
uenda ana tatizo na ugonjwa wa ini
hivyo mshauri aende hospital akapime utra sound
achek ana natatizo gani kwani viuungo vya ndani kama
vimeoza hutoa harufu nje na kuleta kero kwa wale
wakuzungukao kwani wewe binafsi huwezi jitambua mapema

Mimi ni mdada mwenye
umri wa miaka 27.Nina
uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo
mapenzi huwa nashikwa na
chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la
usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.. Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba
atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake... Jamani, naombeni msaada ili
uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu. Maadam A.


Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana MMU wenzangu labda akiingia JF atasoma maoni yenu
 
pole bestito kwa masahibu hayo
uenda ana tatizo na ugonjwa wa ini
hivyo mshauri aende hospital akapime utra sound
achek ana natatizo gani kwani viuungo vya ndani kama
vimeoza hutoa harufu nje na kuleta kero kwa wale
wakuzungukao kwani wewe binafsi huwezi jitambua mapema
Etiii????
 
hee hii kali kuliko :flypig:
Usimfanyie soup mana soup zina bacteria nyingi lakini zinasaidia katika mapigo, labda wewe mwanamke unapenda sana kipigo cha soup kwa hio lazima uvumilie kijasho cha kwapa, kama unampikia mme wako soup ya miguu ya beberu.

Research zingine zinasema wanawake wengi sana wanapenda kunusa kwapa la waume zao, we naona uko vingine kabisa na wanawake wengine.
 
achukue limao, bila kulikata apigepige mpaka lianze kutoa majimaji halaf aminyie kwenye kwapa kwa muda wa siku 3 mfululizo....kwahisani ya kipindi cha tv (skumbuki channel, msijeniuliza)
 
msafishe na limao baada ya hapo mpake deodorant halafu uendelee kula mzigo kiroho safi.
 
Dada ckia nkwambie.. Nenda duka la madawa ya asili ukanunue kitu kinaitwa SHABU ipo kama chumvi ya mawe.. Baada ya hapo chukua kipande kiasi cha hlo donge na uchemshe had liyeyuke, ikipoa achukua pamba atumbukize kwenye hayo maji na ajipake makwapan kutwa x3.. Afanye hvyo kila siku yan hyo iwe ndo pafyumu yake kila cku...! Atapona 2 na utakuja kutoa ushuhuda hapa.
 
Back
Top Bottom