Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Problem solved
Hii kiboko kuumwa kwapa na sikio vinauhusiano gani na Angaza MkuuKapime HIV? Nilishawahi isikia hii kuuma kwa kwapa na Sikio.
Wahi angaza mkuu
Yes huwa kunaendana lakini ni lazima yaume yote na anakua ana hisi kama ni jipu kwa ndani na masikioni ndani kabisa yote kwa pamoja inakua ina ashiria vibaya ila kwa huyu sidhani ila anaweza enda kupima kujiridhishaKapime HIV? Nilishawahi isikia hii kuuma kwa kwapa na Sikio.
Wahi angaza mkuu