BabaJonii
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 282
- 145
Lazima nikuumbue c unanidanganya kati najua una mke na wtt! Cdanganyiki ng'o WIYELELE.
wanaoumia ni wale wasiopenda kutoa jasho,wanapenda bure bure tu
Lazima nikuumbue c unanidanganya kati najua una mke na wtt! Cdanganyiki ng'o WIYELELE.
Hahahahahahaahaaaaa! Wiyelele, unanifurahisha sana, kwa hiyo usiku kucha moto unawaka, asubuhi kukicha unaenda kwenye Air condition, Ama kweli ukistaajabu ya Musa, Khaaaaaaaaaaa! Ndiyo yale unalala kinondoni moyo, penzi , fikra zoteeeeee ziko Kimara! Hahahahaaha!
Hahahahahaahahaaaaaaaa! unanifanya nicheke kwa nguvu mpk wananishangaa hapa ofizini! Wiyelele, Loh! Mkeo angeyajua hayo naona angefanya kila njia kurudisha hali ile kama mlivyokuwa wakati wa uchumba wenu , Loh!Mtu kipupwe bwana! Naamini ukimwambia mtu ukweli hawezi kukudhalilisha, ukimficha, yakija kufichuka utaomba uchimbe shimo ujifiche. Hapa K'ndoni moto ukiwaka natimua mbio kwenda Kimara! Nakaa kwenye kipupwe huku nashushia baridi moja na kitimoto haalooohalooo mambo yanakwenda!
Mh! Wewe utanipa nn! Ctak dushelele lako, hapa ni materials thngs! Dushelele la mkeo hlo! Mh! Upo hapo WIYELELE!
Ukiona hivyo ujue huyo mwanaume ni dhaifu, ni kwamba hajui kutongoza, mimi huwa nashangaa sana, mwambie mwanamke ukweli kuwa umeoa na una watoto,ila moyo na nafsi yako imetokea kumpenda, kwisha, atamua yeye mwenyewe kuwa na wewe au la! Hamna kitu kinanikera kama Mtu muongo, Agrrrrrrrrrrrrrrrih! natamani nimnase kibao.
CC:- wiyelele
Mzabzab mzee wa kugegeda wasichana.
Ahhh siwezi hata siku mmoja kumlet-down mke wangu, kama yule mwanamke kanivutia...tamsifia tu kwa kusema hivi; Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui nikufanye uwe second wife wangu:biggrin:
kikikkiki, anyway mi itategemea una shape gani, pia kama una mapepe tu hunifai. Kama una elimu ya chuo kikuu kaa pembeni. Kama unamelemeta dhahabu kila mahali hunifai. Mi nataka 'Cool lady" ambaye naweza nikakaa nae tukacheka, maana nina kama miaka 3 sijawahi kucheka. Nataka mtu ambae naweza nikamuamini, sio zoa anaetaka kunizolea nilichonacho. Awe muaminifu nitakaekuwa nae hata nikifirisika! Je sifa hizi unazo?
hizo ni gia za kutongoza tu,na mbinu hizo wadada wameshazishtukizia,wala hazivutii tena.mtu akwambie hivyo mtu na akili zako unajua tu ni utapeli wa mapenzi
wanaoumia ni wale wasiopenda kutoa jasho,wanapenda bure bure tu
Mh! Wanavua hadi pete za ndoa! Ole wako upige ucku na alfajiri sana hapa ndo utampata na ndo dawa yao 2! Anakupeleka mpaka hme ili umwamini, kweli wanaume mtachomwa mara 2 moto zaidi ya w/wake! Utashare kitanda cha master, mh ndo awe ana 2 house balaa! Mabinti mtapokezana humo ndani mpaka basi! I HATE MARRIED MEN, though they handle well!
Hapana sijawapa verse, na wala usifikiri nimefurahia, maana hata mm nipo ndani ya ndoa, ila nakutana na hayo mambo, ndipo unaanza kushangaa mtu anamsagia mkewe ile mbaya, sasa ukijuiliza kuwa kama mkewe anamsema hivyo je wewe? na ihali anaona kabisa umevaa pete ya Ndoa . Sijui huwa wanawaza nn.Lisa... Kwa hiyo wewe unawapa hao waliooa verse za kutumia kutongoza totoz eeeeee???
Shauriloooo..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapana sijawapa verse, na wala usifikiri nimefurahia, maana hata mm nipo ndani ya ndoa, ila nakutana na hayo mambo, ndipo unaanza kushangaa mtu anamsagia mkewe ile mbaya, sasa ukijuiliza kuwa kama mkewe anamsema hivyo je wewe? na ihali anaona kabisa umevaa pete ya Ndoa . Sijui huwa wanawaza nn.
Zanzsco na Wiyelele, nawaruhusu muende mkafanye maongezi yenu pembeni kidogo maana hapa tunasikia wengi(PM)Zote ninazo! Weye 2 WIYELELE! Upo hapo!
Inaonyesha Katavi bado hujayaona ya Dunia, wapo wanaopenda, na wanawaweka kinyumba kabisa, na kwa kwenda kwao kujitambulisha, unakuta mto nyumani kwake kunawaka mtu, kapata pa kupumzika, si anaweka makazi? kwani hujawahi kuona mtu kafunga ndoa ya kanisani lakini ana wake wawili? Uliza utaambiwa au kuonyeshwa kabisaaaaaa!Hapo kwenye bluu huwezi ukampenda wakati umeoa, hapo unakuwa umemtamani tu,,,,,,,,,,,,,ni vizuri kuwaambia tu nataka nikugegede basi......!!
neggirl , na nani kasema kachuja, nilikuwa naongelea past tense wakati ule nilipo muona wife, sa we naona umenda mbali na Yeah uzuri wake wa mwanzo si kama sasa lakini hata hivyo sidhani kama unaweza kumshinda uzuri...na wakati yeye kisha zaa mkiwekwa pamoja watu watasema yeye ni mdogo kwako...hapa sikutanii nakupa 100% sure, na kama unabisha na kukaribisha nyumbani ikiwa we kweli mwanamke ujionee mwenywe, kama hujasema kuna wanaume wengine wanajua kuchagua wanawake wazuri:biggrin:Haha haaaaaaaaaaa... Peopleeeez mnafurahisha kweliiiiii!
"Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui"
BTW fazaa ulimaanisha alikuwa mzuri (zamani??? ).. Kwani sasa yupoje lolz.. Kachuja??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Zanzsco na Wiyelele, nawaruhusu muende mkafanye maongezi yenu pembeni kidogo maana hapa tunasikia wengi(PM)