Kwann nimewah kuoa!!!

Kwann nimewah kuoa!!!

neggirl , na nani kasema kachuja, nilikuwa naongelea past tense wakati ule nilipo muona wife, sa we naona umenda mbali na Yeah uzuri wake wa mwanzo si kama sasa lakini hata hivyo sidhani kama unaweza kumshinda uzuri...na wakati yeye kisha zaa mkiwekwa pamoja watu watasema yeye ni mdogo kwako...hapa sikutanii nakupa 100% sure, na kama unabisha na kukaribisha nyumbani ikiwa we kweli mwanamke ujionee mwenywe, kama hujasema kuna wanaume wengine wanajua kuchagua wanawake wazuri:biggrin:

Napenda fazaa unavyomsifia mke wako na kumuheshimu hata kama unafanya mambo yako bado unamuona ye ndo malkia wengine wa kupita barikiwe kwa hilo
 
Mi nampigia salute Zanzsco. Pamoja na kwamba kwangu kunawaka moto, naona kama "Air conditioner" haiwezi kuwa Zanssco. Naona kama nae anamatatizo lukuki na mmewe. Nahisi mme wake ni mbahiri sana, pia nadhani hawezi kazi. Sidhani kama wana maendeleo kihivyo maana Zanzsco anataka mtu material (mbali na mme wake). It means her current husband is material-less!

Wewe WIYELELE! Nani kakwambia nmeolewa na material-less! Si anaogopa akishndwa watam2nzia 2 maana bdo nalipa mie! Upo hapo! Moneys makes the world go round! Au wewe ndo bahili! Toa nawe upewe!mh
 
Napenda fazaa unavyomsifia mke wako na kumuheshimu hata kama unafanya mambo yako bado unamuona ye ndo malkia wengine wa kupita barikiwe kwa hilo

Atampondaje kati yuko humu na anajua id na pasword! Mh! Lake rohoni. Mh!
 
Hapo kwenye bluu huwezi ukampenda wakati umeoa, hapo unakuwa umemtamani tu,,,,,,,,,,,,,ni vizuri kuwaambia tu nataka nikugegede basi......!!

Unashangaa hayo! W/ume mnashangaza! Mtaani hku kuna mbaba wa kigoma alimchumbia binti nusura afunge ndoa kanisan kwan sendoff wz done olready! Mke akatonywa wacha aende kwa padri kupinga ndoa hyo! Aibu aibu! Wanaume mnatisha kama ukoma! Hata hofu ya Mungu hawana! Viapo je!
 
Wewe WIYELELE! Nani kakwambia nmeolewa na material-less! Si anaogopa akishndwa watam2nzia 2 maana bdo nalipa mie! Upo hapo! Moneys makes the world go round! Au wewe ndo bahili! Toa nawe upewe!mh

Nimekupata! No other comment!
 
kuna baadhi ya w/mme ni
wadanganyifu sana, ana mke na wtt ila anakwambia ningekuta na ww mapema
nngekuoa! Hvi huwez kumtongoza mdada bila kusema haya! Hvi ma gents
2juzeni mnajuta kuwah kuoa baada ya kukutana na mdada mnafanana kimawazo
na anakuvutia!!

waongo hao huwaambia hivyo wadada ili wajisikie ni wazuri na ni wa kipekee. lugha hiyo huwafanya wadada wawakubali kirahisi kwani akienda kwa mdada na kumwambia mke wangu ni mzuri hatamkubali.
 
Mi nampigia salute Zanzsco. Pamoja na kwamba kwangu kunawaka moto, naona kama "Air conditioner" haiwezi kuwa Zanssco. Naona kama nae anamatatizo lukuki na mmewe. Nahisi mme wake ni mbahiri sana, pia nadhani hawezi kazi. Sidhani kama wana maendeleo kihivyo maana Zanzsco anataka mtu material (mbali na mme wake). It means her current husband is material-less!
Hahahahaahahah! weweWiyelele unamchokoza Zanzsco, mm simo na wala sitakugombelezea utakapo anza kuchapwa makonde. Mimi nakaa mbaliiiiiiiiiiii.
 
Hahahahaahahah! weweWiyelele unamchokoza Zanzsco, mm simo na wala sitakugombelezea utakapo anza kuchapwa makonde. Mimi nakaa mbaliiiiiiiiiiii.

Hadi hapa nimefyata mkia, hata akinichapa sawa tu maana tayari keshapata salute yangu.
 
Mh! Wanavua hadi pete za ndoa! Ole wako upige ucku na alfajiri sana hapa ndo utampata na ndo dawa yao 2! Anakupeleka mpaka hme ili umwamini, kweli wanaume mtachomwa mara 2 moto zaidi ya w/wake! Utashare kitanda cha master, mh ndo awe ana 2 house balaa! Mabinti mtapokezana humo ndani mpaka basi! I HATE MARRIED MEN, though they handle well!
Thats annoxymoron....hating and loving their care
 
Back
Top Bottom