Kwann nimewah kuoa!!!

Kwann nimewah kuoa!!!

zanzsco

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
161
Reaction score
45
kuna baadhi ya w/mme ni wadanganyifu sana, ana mke na wtt ila anakwambia ningekuta na ww mapema nngekuoa! Hvi huwez kumtongoza mdada bila kusema haya! Hvi ma gents 2juzeni mnajuta kuwah kuoa baada ya kukutana na mdada mnafanana kimawazo na anakuvutia!!
 
Yaani kukuambia hayo maneno jana ndo umeniumbua hivi?
 
Ndio yenyewe mnayoyataka, bila kudanganywa kitumbu hamtupi....hahahaha njia rahisi nikuachana na hayo mambo tu kwa muda
 
kuna baadhi ya w/mme ni wadanganyifu sana, ana mke na wtt ila anakwambia ningekuta na ww mapema nngekuoa! Hvi huwez kumtongoza mdada bila kusema haya! Hvi ma gents 2juzeni mnajuta kuwah kuoa baada ya kukutana na mdada mnafanana kimawazo na anakuvutia!!
Ukiona hivyo ujue huyo mwanaume ni dhaifu, ni kwamba hajui kutongoza, mimi huwa nashangaa sana, mwambie mwanamke ukweli kuwa umeoa na una watoto,ila moyo na nafsi yako imetokea kumpenda, kwisha, atamua yeye mwenyewe kuwa na wewe au la! Hamna kitu kinanikera kama Mtu muongo, Agrrrrrrrrrrrrrrrih! natamani nimnase kibao.
CC:- wiyelele
Mzabzab mzee wa kugegeda wasichana.
 
Moja, Ukiona wanakuambia maneno kama hayo jua tu wanakutambulisha kwamba wameshaoa, sasa ni uamuzi wako kukataa au kukubali.

Mbili
, Mara nyingi hutumia maneno kama hayo ili kukupandisha grade ili ujione uko juu zaidi ya mke wake, ili ujione high class kumbe hiyo ni gear tu ya kukupata maana tunajua wanawake wakisifiwa tu baaasi.
 
Ahhh siwezi hata siku mmoja kumlet-down mke wangu, kama yule mwanamke kanivutia...tamsifia tu kwa kusema hivi; Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui nikufanye uwe second wife wangu:biggrin:
 
Leo ni Ijumaa ya mwisho wa mwezi, sitaki kabisa kuisononesha nafsi yangu.
Mifuko imenona

Ni mwanzo jaman Bujibuji! Au anakuchanganya! Lazima utenge fungu lake jaman! Saloön, nguo na kodi ya nyumba! Mh!
 
Ahhh siwezi hata siku mmoja kumlet-down mke wangu, kama yule mwanamke kanivutia...tamsifia tu kwa kusema hivi; Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui nikufanye uwe second wife wangu:biggrin:

Mh! Wanavua hadi pete za ndoa! Ole wako upige ucku na alfajiri sana hapa ndo utampata na ndo dawa yao 2! Anakupeleka mpaka hme ili umwamini, kweli wanaume mtachomwa mara 2 moto zaidi ya w/wake! Utashare kitanda cha master, mh ndo awe ana 2 house balaa! Mabinti mtapokezana humo ndani mpaka basi! I HATE MARRIED MEN, though they handle well!
 
I think you should'nt hate married people, and pray for them...God will grant you the same happiness one day...no point hating people.... Love people, and people will love you :biggrin:
 
Ukiona hivyo ujue huyo mwanaume ni dhaifu, ni kwamba hajui kutongoza, mimi huwa nashangaa sana, mwambie mwanamke ukweli kuwa umeoa na una watoto,ila moyo na nafsi yako imetokea kumpenda, kwisha, atamua yeye mwenyewe kuwa na wewe au la! Hamna kitu kinanikera kama Mtu muongo, Agrrrrrrrrrrrrrrrih! natamani nimnase kibao.
CC:- wiyelele
Mzabzab mzee wa kugegeda wasichana.

Kikikikik kikikiki! Jamani Lisa tangu lini ukawa mkali hivyo? Unajua kama ulivyosema, zanzsconafikiri kasema hivyo kwa vile jamaa ni muongo, pili Zansco hakumpenda jamaa. Hakika angempenda ingekuwa siri yake.
Pili, mi huwa sifichi, nasema NIMEOA ila ndoa yangu inawaka moto... "Naja kwako ili uwe air conditioner wa moyo wangu" finish!
 
I dont love maried man, i love wat they offer! Mahitaji wanatimiza faster kuliko bf!
 
Mh! Wanavua hadi pete za ndoa! Ole wako upige ucku na alfajiri sana hapa ndo utampata na ndo dawa yao 2! Anakupeleka mpaka hme ili umwamini, kweli wanaume mtachomwa mara 2 moto zaidi ya w/wake! Utashare kitanda cha master, mh ndo awe ana 2 house balaa! Mabinti mtapokezana humo ndani mpaka basi! I HATE MARRIED MEN, though they handle well!
Kuna baba mmoja ni mkurugenzi Vodacom, ana mke na watoto 3, lakini amepanga upande mzima wa nyumba kinondoni karibu na nyumba yangu, ameweka kila kitu ndani, basi anawaleta pale wadada anawaambia kuwa anaishi pale na hana mke, kumbe ni gia ya kuwapata, siku moja mmoja akawa ana mimba si akabeba mizigi ili aje ahamie pale , kufika anaambiwa na yule kijana mlinzi kuwa yule baba hakai pale, na ana mke na watoto wake, kwa hiyo amtafute huko huko walikokutana, mlinzi akafunga geti, yule dada acha alie pale mpk nikamuonea huruma. KWA KWELI WASICHANA WANATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA HAWA WANAUME SI WAKWELI KABISA.
 
Kikikikik kikikiki! Jamani Lisa tangu lini ukawa mkali hivyo? Unajua kama ulivyosema, zanzsconafikiri kasema hivyo kwa vile jamaa ni muongo, pili Zansco hakumpenda jamaa. Hakika angempenda ingekuwa siri yake.
Pili, mi huwa sifichi, nasema NIMEOA ila ndoa yangu inawaka moto... "Naja kwako ili uwe air conditioner wa moyo wangu" finish!
Hahahahahahaahaaaaa! Wiyelele, unanifurahisha sana, kwa hiyo usiku kucha moto unawaka, asubuhi kukicha unaenda kwenye Air condition, Ama kweli ukistaajabu ya Musa, Khaaaaaaaaaaa! Ndiyo yale unalala kinondoni moyo, penzi , fikra zoteeeeee ziko Kimara! Hahahahaaha!
 
Kikikikik kikikiki! Jamani Lisa tangu lini ukawa mkali hivyo? Unajua kama ulivyosema, zanzsconafikiri kasema hivyo kwa vile jamaa ni muongo, pili Zansco hakumpenda jamaa. Hakika angempenda ingekuwa siri yake.
Pili, mi huwa sifichi, nasema NIMEOA ila ndoa yangu inawaka moto... "Naja kwako ili uwe air conditioner wa moyo wangu" finish!

I dont love maried man, i love wat they offer! Mahitaji wanatimiza faster kuliko bf!
 
Kuna baba mmoja ni mkurugenzi Vodacom, ana mke na watoto 3, lakini amepanga upande mzima wa nyumba kinondoni karibu na nyumba yangu, ameweka kila kitu ndani, basi anawaleta pale wadada anawaambia kuwa anaishi pale na hana mke, kumbe ni gia ya kuwapata, siku moja mmoja akawa ana mimba si akabeba mizigi ili aje ahamie pale , kufika anaambiwa na yule kijana mlinzi kuwa yule baba hakai pale, na ana mke na watoto wake, kwa hiyo amtafute huko huko walikokutana, mlinzi akafunga geti, yule dada acha alie pale mpk nikamuonea huruma. KWA KWELI WASICHANA WANATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA HAWA WANAUME SI WAKWELI KABISA.

Lisa, nadhani huyo kigogo wa VODACOM ujumbe umemfikia. Mwingine yuko hapo TBC, naskia ana tabia hiyo. Mwingine ni kigogo Waziri fulani anarubuni wasichana eti amnunulie msichana chai ya laki moja! Hao wote wana midomo zege wamejifunzia haya mambo ukubwani wakiwa wazee na wamekulia vijijini.
 
kuna baadhi ya w/mme ni wadanganyifu sana, ana mke na wtt ila anakwambia ningekuta na ww mapema nngekuoa! Hvi huwez kumtongoza mdada bila kusema haya! Hvi ma gents 2juzeni mnajuta kuwah kuoa baada ya kukutana na mdada mnafanana kimawazo na anakuvutia!!

Ukiona anasema maneno haya ujue ni mwongo tu. anajaribu kukufanya ujione uko juu kuzidi mkewe kumbe tamaa tu.
 
Back
Top Bottom