Katika kukaa kwangu hapa Dar kwa muda wa miaka 10 iliyopita kuna vitu vimekuwa vikiongezeka kila kukicha
1-makanisa yanaongeza sana
2-Bar na Grosery na Night Club
3-Sehemu za ukahaba zinaongezeka sana
4-Mahoteli na Nyumba za kulala wageni
Wanywaji wanaongezeka ....wanaongezewa bar na vilabu.
Wakishalewa wanataka kupunguza stimu na kina dada wanataka pesa...sehemu za ukahaba nazo zinaongezeka.
Dada na mteja wake wanahitaji faragha....nyumba zinaongezeka.
Wakishavunja amri wanataka kutubu hivyo wanatinga kanisani.
Wewe bana! majibu kama ya kupatia PhD!! kama mimi ndo supervisor wako ningekugongea 100% recommended to be honoured with a PhD immediately before next month.,
na hiyo avatar yako.....mhh!
hehehhehehehheKah ebwana ndio Lils nakukubali maana umetoa kitu kamili hapo hakuna uwongo mwana.Bigirita umeonaeee Lils alivyojibu mwake safi.