Kwanini?

Kwanini?

Tatizo, mazingira yanaweza changia huyo mtu akafanya hivo.. unapo zungumzia matatizo kama haya usisahau, historical backgroung, mazingira aishiyo huyo mtu, tabia yake ki ujumla na hata kampani yakee....

Im with you manoah ........
lakin tusitake kujustfy kitu ambacho ni abnormal kuwa normal just because
of circumstances tajwa hapo juu
 
Last edited by a moderator:
zipo sema mnategemea wanaume wawavalie condom badala yenu. alaf hizo zenu unaweza kuvaa hata masaa mawili kabla ya tendo.
Kwa sababu nyie hampendi kuziona za kwenu ndio maana wanaume wanakuwa waamuzi wa kuvaa au kutovaa

mhh hayeni
 
Habarini za mchana wadau,

Poleni na kazi za kuutafuta mpango mzima.....si mnajua ndo pekee wa kukuwekea heshima mjini hapa?so utafuteni kwa bidii.

Binamu yangu amenipatia story (katika maongezi ya kidada/dada) kwamba alikuwa na kidate na youngki mmoja hivi (yupo kwenye late 20's) ambacho kilivuka hadi ngazi za juu za ulaji wa tundi. Katika simulizi yake hii anadai hawakutumia ngala (ndom) na waliyefanya nae sio kwamba wanajuana kivileee, na walifanya zaidi ya mara moja (but siku hiyo hiyo moja). Huyu mdada yuko makini sana kuhusu mambo haya, hajiachii ovyo sasa nimeshangaa ilikuwaje akawa kwenye kujiamini na kujiachia hivi. Anadai jamaa ndio alisisitiza.

Huwa ninajiuliza sana na sipati majibu, ni nini kinapelekea mtu tena wa rika ya chini ambae bado ana malengo mengi kuamua kusex na mtu asiyemfahamu vizuri kwa mara ya kwanza bila kutumia ndom? Hivi kwa dunia ilivyo huu ujasiri unatoka wapi na wakati mwingine unakuta mtu hamjui vizuri?

Kumbukeni tamaa mbele mauti nyuma.

kuna viumbe vizuri mpaka unaona its so unfair to use a condom........
 
Mi nimeamua kumwachia mungu tu..dah! manake akina dada nyie yaani hata mkiwa decent vipi,utakuta mnaongea points za maana kweli..na mambo mengi mnajua..lakini kwenye ku-do yaani mnajiachia kichizi ..wakati mwingine kabla ya kuingiza ,mtu unamuangalia usoni kama ndiye yule ,ukijaliwa unavaa ndom.,,..wenyewe wapo tu tena mnavyoisubiri iingie kwa hamu...hata muda huo wa kujua kama kuna ndom au la huwa hamna....labda swali lingekuwa kwanini akina dada mnatufanyia hivi,yaani hamuwezi kabisa kukomaa??? kha!
 
mbona kuna vinguo vinawabana sana sana, vile huwa mnavaaje, condoms zinashindikaje?

Huwezi kulinganisha vile vinguo na huo mfano wa hyo ndom hapo juu, kwanza ina vifundo viwili, sasa hapo kuvaa si mpaaka uwe mtaalam jamani?
 
Habarini za mchana wadau,

Poleni na kazi za kuutafuta mpango mzima.....si mnajua ndo pekee wa kukuwekea heshima mjini hapa?so utafuteni kwa bidii.

Binamu yangu amenipatia story (katika maongezi ya kidada/dada) kwamba alikuwa na kidate na youngki mmoja hivi (yupo kwenye late 20's) ambacho kilivuka hadi ngazi za juu za ulaji wa tundi. Katika simulizi yake hii anadai hawakutumia ngala (ndom) na waliyefanya nae sio kwamba wanajuana kivileee, na walifanya zaidi ya mara moja (but siku hiyo hiyo moja). Huyu mdada yuko makini sana kuhusu mambo haya, hajiachii ovyo sasa nimeshangaa ilikuwaje akawa kwenye kujiamini na kujiachia hivi. Anadai jamaa ndio alisisitiza.

Huwa ninajiuliza sana na sipati majibu, ni nini kinapelekea mtu tena wa rika ya chini ambae bado ana malengo mengi kuamua kusex na mtu asiyemfahamu vizuri kwa mara ya kwanza bila kutumia ndom? Hivi kwa dunia ilivyo huu ujasiri unatoka wapi na wakati mwingine unakuta mtu hamjui vizuri?

Kumbukeni tamaa mbele mauti nyuma.

Hahaha sijui nibkwanini nina hisia hizi labda ni ukweli au uongo but napata hisia kali sana kuwa aliyepigwa kipara kwenye hii case bila ngala ni wewe na siyo mshkaji wako. Usijali shit happens but when it happens twice it becomes deadly.
 
Kuna vtu vnafanya mtu ajiachie hata kwa mtu ambaye hamjui kivile.Kama mtu yuko na stress anaweza kujiachia hata kwa mtu asiyemjua vzur,eg.kagombana partner wake au kaachwa.Mtu anaweza kuchukua maamuzi kama hayo ili walau kujituliza ila hali akjua ndo anajiongezea maumivu.Cha pili ni kukaa mda mrefu ukiangalia mtu anayekufaa alaefu haupati,unakata tamaa unasema na inafka stage unasema anyone who comes now I can agree.(maamuz baada ya kukata tamaa).Tatu ni vichoche(hormony),mkiwa kwenye chumba nyie wawili alafu mwanamke ukamruhusu mwanaume anaku approach alafu anakushkashka mara kichwa mara bega mara kifuani then inakuwa vichocheo(hormony) huitikia na huwa pale ni vgumu kuji control tena,hatimae mnaenda kavukavu baadae ndo unagundua u hv made a mistake.Yapo mengi ungemuliza ungejua kwa nn alijiachia kwa mtu asye mjua kvle angekupa moja ya sababu1
 
Hii inatokana na kuruhusu accidentally or intentionally kichwa kikubwa kuwa overtaken na kidogo....

Ndiyo maana unaweza kukuta jitu kuuubwa ila linafungwa kamba na kajamaa ambako hakajai hata kwenye kiganja. Ila tu kakiongea dunia nzima inatetemeka...

Mwambie next time asiruhusu ushirikiano wa akili kubwa ukatoweka ghafla....!!

Babu DC!!
 
Hahaha sijui nibkwanini nina hisia hizi labda ni ukweli au uongo but napata hisia kali sana kuwa aliyepigwa kipara kwenye hii case bila ngala ni wewe na siyo mshkaji wako. Usijali shit happens but when it happens twice it becomes deadly.

Au wewe ndio ulipiga nae kavu nini? Sawa kama ndio akili yako imekutuma huko, ila hata kama ni mimi kwanini niogope wakati humu tunatumia vivuli? pia nina ID zaidi ya 10 humu so nisingeshindwa kutumia nyingine. Ila unao uhuru wa kuamini vile unaamini.
 
Kuna vtu vnafanya mtu ajiachie hata kwa mtu ambaye hamjui kivile.Kama mtu yuko na stress anaweza kujiachia hata kwa mtu asiyemjua vzur,eg.kagombana partner wake au kaachwa.Mtu anaweza kuchukua maamuzi kama hayo ili walau kujituliza ila hali akjua ndo anajiongezea maumivu.Cha pili ni kukaa mda mrefu ukiangalia mtu anayekufaa alaefu haupati,unakata tamaa unasema na inafka stage unasema anyone who comes now I can agree.(maamuz baada ya kukata tamaa).Tatu ni vichoche(hormony),mkiwa kwenye chumba nyie wawili alafu mwanamke ukamruhusu mwanaume anaku approach alafu anakushkashka mara kichwa mara bega mara kifuani then inakuwa vichocheo(hormony) huitikia na huwa pale ni vgumu kuji control tena,hatimae mnaenda kavukavu baadae ndo unagundua u hv made a mistake.Yapo mengi ungemuliza ungejua kwa nn alijiachia kwa mtu asye mjua kvle angekupa moja ya sababu1

Hizo hormone zinatokea wapi mkuu??

Na hiyo physiology imegundulika lini??

Babu DC!!
 
Mi nimeamua kumwachia mungu tu..dah! manake akina dada nyie yaani hata mkiwa decent vipi,utakuta mnaongea points za maana kweli..na mambo mengi mnajua..lakini kwenye ku-do yaani mnajiachia kichizi ..wakati mwingine kabla ya kuingiza ,mtu unamuangalia usoni kama ndiye yule ,ukijaliwa unavaa ndom.,,..wenyewe wapo tu tena mnavyoisubiri iingie kwa hamu...hata muda huo wa kujua kama kuna ndom au la huwa hamna....labda swali lingekuwa kwanini akina dada mnatufanyia hivi,yaani hamuwezi kabisa kukomaa??? kha!


Hili jambo nimelisikia mara nyingi aisee...

Kuna tuhuma nyingi kwamba mama na dada zetu wanakuwa wazito kukomaa ili wenzi wao (ambao ni wapita njia) watumie vifaa vya kazi...

Itabidi wenywe watupe majibu ya hizi tuhuma..lol!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom