Kwanini?

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Habarini za mchana wadau,

Poleni na kazi za kuutafuta mpango mzima.....si mnajua ndo pekee wa kukuwekea heshima mjini hapa?so utafuteni kwa bidii.

Binamu yangu amenipatia story (katika maongezi ya kidada/dada) kwamba alikuwa na kidate na youngki mmoja hivi (yupo kwenye late 20's) ambacho kilivuka hadi ngazi za juu za ulaji wa tundi. Katika simulizi yake hii anadai hawakutumia ngala (ndom) na waliyefanya nae sio kwamba wanajuana kivileee, na walifanya zaidi ya mara moja (but siku hiyo hiyo moja). Huyu mdada yuko makini sana kuhusu mambo haya, hajiachii ovyo sasa nimeshangaa ilikuwaje akawa kwenye kujiamini na kujiachia hivi. Anadai jamaa ndio alisisitiza.

Huwa ninajiuliza sana na sipati majibu, ni nini kinapelekea mtu tena wa rika ya chini ambae bado ana malengo mengi kuamua kusex na mtu asiyemfahamu vizuri kwa mara ya kwanza bila kutumia ndom? Hivi kwa dunia ilivyo huu ujasiri unatoka wapi na wakati mwingine unakuta mtu hamjui vizuri?

Kumbukeni tamaa mbele mauti nyuma.
 
Kumbuka Kinachokutisha wewe sio kitu kisicho naexperience, ukiumia umeumia hakuna kwamba ukiumia ndo unakuwa umejifunza na baada ya apo uwe makini usije kuumia tena. mi naona tatizo ni hilo, ambao hawajaumia hawaogopi na walioumia hawana cha kupoteza.

Mi binafsi mpaka siku najifunga kwa wife, sikuwahi kutumia hizo vitu na mechi za mazoezi nimecheza nyingi sana, nyingi mno tu tena nyingine kwenye viwanja vya hatari sana.

Mungu ni Mwema kwa kweli
 
Duhh kweli Mungu ni mwema, ni kwa neema tu.....ulipiga ngapi vile? au hazina idadi?
 
Habarini za mchana wadau,

Poleni na kazi za kuutafuta mpango mzima.....si mnajua ndo pekee wa kukuwekea heshima mjini hapa?so utafuteni kwa bidii.

Binamu yangu amenipatia story (katika maongezi ya kidada/dada) kwamba alikuwa na kidate na youngki mmoja hivi (yupo kwenye late 20's) ambacho kilivuka hadi ngazi za juu za ulaji wa tundi. Katika simulizi yake hii anadai hawakutumia ngala (ndom) na waliyefanya nae sio kwamba wanajuana kivileee, na walifanya zaidi ya mara moja (but siku hiyo hiyo moja). Huyu mdada yuko makini sana kuhusu mambo haya, hajiachii ovyo sasa nimeshangaa ilikuwaje akawa kwenye kujiamini na kujiachia hivi. Anadai jamaa ndio alisisitiza.

Huwa ninajiuliza sana na sipati majibu, ni nini kinapelekea mtu tena wa rika ya chini ambae bado ana malengo mengi kuamua kusex na mtu asiyemfahamu vizuri kwa mara ya kwanza bila kutumia ndom? Hivi kwa dunia ilivyo huu ujasiri unatoka wapi na wakati mwingine unakuta mtu hamjui vizuri?

Kumbukeni tamaa mbele mauti nyuma.

Hapo Nilipobold, ndipo na mimi huwa nachoka zaidi, yaani eti mtu kusisitiza sana ndiyo sababu ya kujiachia na kuhatarisha usalama wa afya yake! Nafikiri kuna baadhi ya watu wakibanwa kwenye corner fulani ya haya mambo huwa wanafikia hatua wanashindwa kufanya maamuzi na kusikiliza na kufuata kila kitu toka upande wa pili, bila kukumbuka madhara yanayoweza kutokea! Kwa kweli inashangaza sana.
 
Hahaha Tanzania bila Ukimwi inawezekana kwa neema za Mungu tu
 
Life is all about risk taking but in this issue No
huwezi kujiaminisha kiasi hiko,ni lazima tu value maisha yetu....
unajiingiza kwa mtu kichwa kichwa hujui past yake ikoje,status yake ipo vipi..
 
Mkuu!
Damu ikishuka toka kichwa kikubwa (ubongo) kwenda na kujaza huko, wanaume wengi wanakuwa mazezeta(samahani kwa lugha hiyo)....matokeo yake baada ya ku-do ndo mtu anakaa na mawazo debe!

Yani we acha tu wala usinikumbushe manake........
 
Hapo Nilipobold, ndipo na mimi huwa nachoka zaidi, yaani eti mtu kusisitiza sana ndiyo sababu ya kujiachia na kuhatarisha usalama wa afya yake! Nafikiri kuna baadhi ya watu wakibanwa kwenye corner fulani ya haya mambo huwa wanafikia hatua wanashindwa kufanya maamuzi na kusikiliza na kufuata kila kitu toka upande wa pili, bila kukumbuka madhara yanayoweza kutokea! Kwa kweli inashangaza sana.

mie leo nilikuwa napiga stori na mtu hapa job akasema ye
akimfumania mke wake ni anamwacha cos anajua posibillity
ya kutumia condom ni ndogo sana as CONTROL ya kutumia au
kutokutumia CONDOM anayo mwanaume.......

I was like whaaaaaat!!!!!!!!:shock::shock::shock:
 
Mkuu!
Damu ikishuka toka kichwa kikubwa (ubongo) kwenda na kujaza huko, wanaume wengi wanakuwa mazezeta(samahani kwa lugha hiyo)....matokeo yake baada ya ku-do ndo mtu anakaa na mawazo debe!

Yani we acha tu wala usinikumbushe manake........

Hhahaha na wewe umo kumbeee eti nisikukumbushe, ila bwana umakini unahitajika
 
mie leo nilikuwa napiga stori na mtu hapa job akasema ye
akimfumania mke wake ni anamwacha cos anajua posibillity
ya kutumia condom ni ndogo sana as CONTROL ya kutumia au
kutokutumia CONDOM anayo mwanaume.......

I was like whaaaaaat!!!!!!!!:shock::shock::shock:

Alichosema kina uhalisia kiaina, mara nyiongi wanaume ndio determinat wa namna tendo litakuwa...watu wa gender walishaanza kufaya research kwenye gendered-sex.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom