kuna tofauti kati ya nguo na hizo kondom
uvaaj wake is a bit complicated
wanawake mnajiendekeza kutotumia kondo za kike.
Hatua za kuitumia kondom ya kike.
1)fungua kondom kutoka ktk pakt yake kwa uangalifu.
2) ikunjue na utaona ring mbil,ndogo na kubwa.
3) mkao wa kuva kondom unaweza kuchuchumaa,kulala chal na kupanua miguu,kuweka mguu mmoja sehemu ilo inuka kama kit,meza,kitanda nk.
4)mwanamke anashika ring ndogo na kuibinya ktk il kupata umbo namba "8".
5)Taratibu ingiza hiyo ring ndogo ikiwa na shape 8 uken huku mwanamke akiwa kwenye mkao aliochagua.
6)kwa kutumia kidole cha kat sukuma kondom had iingie uken.
7) ring kubwa(ambayo baadh ya wanawake hutumia kama bangil la kuvaa mkonon kutokana na mng'ao na uzur wake)hubak juu ya uke.
8) wakat wa tendo mwanamke ashike uume na kuungiza mwenyewe uken.
Nb.
Kondom ya kike inaweza kuvaliwa hata saa 1 kabla ya tendo.
Ugumu hapo ukowap? Jaman nyie wanawake kuwen responsible na afya zenu bwana.