Kwanini??????

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,030
156,515
Najiuliza, lakini sipati jibu.
Kwa nini madume ya ng'ombe yakitoka malishoni hukaa nyuma na majike hukaa mbele?
Najiuliza kwa nini simba dume anaitwa King of the Jungle, lakini jike haitwi Queen of the Jungle.
Najiuliza kwanini jogoo ana umbo kubwa kuliko temba, tena yeye ndio huwa wa kwanza kuwika.
Najiuliza kwa nini wanawake wanahitaji ulinzi kutoka kwa wanaume, lakini wanaume hawahitaji ulinzi kutoka kwa wanawake.
Hivi kwa nini wanawake wana umoja wao lakini hamna umoja wa wanaume?
Sijajua kwa nini leo hii eti wanawake wanataka kuwatawala wanaume huku wakiwananga na kuwasimanga wakitumia misamiati mbalimbali ukiwemo ule wa mfumo dume?
 
Mpwa achana na mambo ya wanawake, wao wenyewe hawajui wanataka nini. Kwenye raha utasikia wakisema ladies first, mara wanataka usawa, na mkivamiwa na majambazi wanataka kipau nyuma. Yaani wewe mwanaume uende front line, yeye abaki nyuma.
Wanawake wote hawajielewi ni nini haswa wanachokitaka
 
Hawatasema wanataka nini maana hawajui mpaka sasa wanataka nini
hawajielewi na wala hawaelewi ni nini wanachopigania
 
umeona ehhh

Wanaclaim rights ambazo hawaziwezi wala tukiwapa hawataweza kuzitumia
Wanaclaim kuwa mbele wakati wakiwekwa mbele au wakipewa hicho wanachokitaka hawawezi kukitumia
Ni kama they claim what they can not afford
 
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!

wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa

.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......
 
kabisa mkuu
ila ukiwaambia hivyo watakuja kw akasi kupinga
Na wanasema tunawanyonya sana na tunapendelea mfumo dume ila hawajui kuwa hili lipo na litaendelea kuwepo
Na wao waseme wazi wanataka nini au nini kibadilike
 
Ndio mana mungu alimuumba kwanza adam ndio akamuumba eva!! Akampa adam mamlaka ya kum2nza eva na cyo eva kum2nza adam .........sasa wanataka kupingana na mungu!!
 
Ukitaka kuelewa ubongo wa mwanamke unawaza nini, ngojeni siku wanaume watakapo geuka na kuwa wanawake ndio watakapo upata ufahamu wa akili ya mwanamke.
 
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!

wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa

.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......
Bado hawajajijua kama wao ni dhaifu, siku wakijijua watastep down. na wataacha kuchonga.
 
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!

wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa

.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......

Dah! poa mwn naona wao hawajalielewa hlo.
 
Women are like police they can have all the evidence in the world but they still want a confession
 
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume, na mwanamke nae vilevile, hiyo ni kawaida kulilia kutambuliwa lakini ukweli utabakia vilevile
 
Back
Top Bottom