Mwache ajibu maswali yake. Si ndiyo raha ya ukubwa?Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?
Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?
Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
Ccm mnatapatapa sana tunajua wazi zito ni salia lenu ila kwa sasa mmechelewa wale watanzania wa miaka ile sio wa leo mtaumbuka mchana kweupeee.
Hizo ni tuhuma,mimi nikisema wewe umetembea na mke wa jirani yako tayari ni tuhuma,kwa hiyo swala sio kumpa mtu tuhuma swala zina ukweli gani na mtuhumiwa anapewa vp nafasi ya kujitetea.Kumbuka Tuhuma Zote alizopewa but He was not given a chance ili ajitetee.Usinirudishe huko nyuma kuna mengi sana Chadema wamemfanyia huyu kijana ndivo sivyo ilimradi tu wenye chama yao yaende.
Join Date : 12th December 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received: 0
Likes Given: 1
Huku ukijipambanua kwa kofia ya wasaliti!
Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukataa ukweli niloandika hapo juu. Sikuwa na nia ya kumchafua yeyote bali labda kuona tunapata ukweli ulionyuma ya pazia. Nachukia baadhi yenu mnaofanya dhiaka kwa hili. Je zito ni msaliti kwa viwango hivyo nilivyoandika?
Mmewashika pabaya wanaweweseka sasaTangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.
Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.
MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
Dah! Naomba nikwambie kitu, chadema si chama cha propaganda. Ndiyo wameshachemka
zaid ya kubwa muhimu tuache kelele tufocus
Alisubili ajiunge ajue anaenda chama gani ukiacha walichokuwa wanamtuhumu kuanzisha chama ndani ya chamaUlisubiri nini kumuona msaliti?
Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi huwa ni ukweli.
Zito zuberi kabwe aliitisha press conference mara mbili kuzungumzia sakata lake na chadema. Hakuthubutu kukana haya ninayotaka yajibiwe humu ndani bali anatapatapa kama unavyofanya wewe humu. Kwa hiyo hakusingiziwa ni ukweli alipiga hizo pesa. Alimgawia Kitila, na katibu wa sasa wa ACT.
Amka bro.
ACT mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Jengeni chama chenu msitafute kiki kupitia chadema. Kujenga chama sio kazi ndogo muulizeni Hashim Rungwe au Dovutwa.
Usisahau kuwaelimisha watu uanopata nafasi ya kuongea nao wengi bado wako gizani kisha focus kwenye positive ideas zinazojenga mabadiliko.
wewe hao unaowataja ni wakulinganisha na ZZK kweli,kama sio basi jua kujenga chama kwa mtu mwenye uwezo wa ZZK inawezekana.
Hakuna cha hoja ya mantiki wala nini na hakuna anae mfuatilia huyo kima wenu wa CCM B. Kinacho pingwa hapa ni udhalimu wa ccm, hiii ni pamoja na chama chao cha act walichokianzisha.
Naomba kwa Mungu hiki chama kisipate mbunge hata mmoja. Ni chama chenye vijana wezi na walafi kuliko ccm mama
Usinifanye kama mimi niko Msumbiji niko Tanzania hii hii na mimi nasikiliza vyombo vya habari hivi hivi,Zitto ameshakana tuhuma Zote zaidi ya mara moja na alichokuwa akitaka cha mwisho ni kupewa nafasi ya kujitetea ndani ya chama achana na hiyo ya kuongea na vyomvo vya habari,hivi unajua msingi wa yeye kwenda mahakamani?