Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Refer to point number 3 in my previous post

Kaka umesahau chadema walitoa walaka wa kumshutumu zito, ndani yake walimshutumu zito amewekewa pesa katika akaunti ya mwanamke huko German, pia mambo mengi kuhusu usaliti wake.
Semea hilo ewe kibaraka wake.
 

CDM ipo field daily na mapambano ya kumuondoa mkoloni mweusi yanaendelea.Wakati yanaendelea hatuwezi kuwaacha wasaliti wapotoshe watz wasiojielewa hivyo lazima tugawane majukumu.Wakati makamanda wengine wapo field sisi tusioenda field tunaweka mambo saw a mitandaoni hawa wehu wasiendelee kupotosha.Operation za cdm zinaendelea kama kawa mkuu
 
Mwizi wa fikra za maendeleo ya Mtanzania.


swissme
 
Nani bado hajamwita msaliti zito?????
 
ACT mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Jengeni chama chenu msitafute kiki kupitia chadema. Kujenga chama sio kazi ndogo muulizeni Hashim Rungwe au Dovutwa.
 
Wanajaribu kuwa-discourage wengine kutoka CHADEMA wasimfuate, ila sidhani kama wataweza kuwazuia, mimi yangu macho.
 
Ni upepo, kama sio pepo, litapita tu!
 
Tatizo lako unakimbelembele sana nani kamchafua?Wewe kama umemfuata Zitto ACT ukijua utapata shavu kama Afande Selle angalie usirudi tena huku ukimsingizia shettani.:juggle:
 
Kipindi Kile CUF wakiitwa Mashoga , CCM B, ulikuwa bado hujazaliwa?

Hivi kwa nini mashabiki wa ccm ndio hao hao wa act? Wakati wa uchaguzi mkuu ccm na act mtaachiana majimbo ili kutogawa kura zenu?
 



Join Date : 12th December 2014

Posts : 4

Rep Power : 0

Likes Received: 0

Likes Given: 1


Huku ukijipambanua kwa kofia ya wasaliti!
 

Zito ndio kila akikaa anawaza chadema fuatilia matamshi yake utagundua hilo
 
kama yeye ni mchafu utasemeje wanamchafua? Hawa mchafui ila yeye ndo mchafu anaangaika kujisafisha.

Anaye mpa kichwa zitto sasa hivi ni Kikwete na familia yake, yeye mwenyewe ni maneno tu mengi lkn hana future!

Kama yeye anaubavu kweli asimame kupimpinga Kikwete au kumsema Lowasa.
 
Join Date : 12th December 2014

Posts : 4

Rep Power : 0

Likes Received: 0

Likes Given: 1


Huku ukijipambanua kwa kofia ya wasaliti!
Tarehe ya kujiunga humu na idadi ya michango sidhani kama ni issue, tunaangalia mantiki ya hoja. Mwacheni ZITTO mlishamfukuza sasa maneno mengi juu yake ya nini? Msahauni , nenndeni mkatengeneze ilani ya uchaguzi mjiandae kwenda kuwadanganya wananchi la sivyo ACT wanaweza hata kuwapiku kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…