Kwanini Zitto nisikuite msaliti?


Usiwastue wacha wajipunguzie wanachama... wao wanafikiri kwa kufanya hivyo wanajiimarisha kumbe wanajibomoa
 
Njia ya Msaliti ni fupi mno...huyu 'baka-baka' MSALITI, atajutia kuisaliti roho ya mageuzi kwa kulamba viatu vya wanaopora nchi na kumshibisha, hata kama wanamfadhili kwa kiwango gani!

MSALITI, Unatumia udhalimu wako pamoja na WATAWALA kubomoa jitihada na misingi ya Ukombozi iliyofikiwa na Vyama vya Mageuzi kwa tamaa ya kusimama 'juu ya wengine'?

Ole!...Misingi ya Ukombozi ukidhoofika na kushindwa kuing'oa CCM hapo Octoba 2015, sababu tu ya mwenendo wako na tamaa zako chafu za KISALITI, hata mawe yatapaaza sauti! Nchi ni zaidi ya tumbo, ni zaidi ya wewe kushiba....unakula anashiba, unapata choo, 'unaendesha' unasahau..ila usaliti hausahauliki...! Ni laana!
 
Kuanzisha chama ndani ya chama ni USALITI mkubwa sana,na dhambi hiyo itamtafuna ZZK.
 
Haswaa...tatizo wengi wetu bado tunaona kwa macho mawili..wenzetu wako kimkakati zaid. nadhani tutakapogundua ukweli basi inaweza ikawa too late kwani speed waliyonayo ni kubwa mno.

Dah! Naomba nikwambie kitu, chadema si chama cha propaganda. Ndiyo wameshachemka
 
Nilitamani nijibiwe hayo madai yangu unless Zitto ni msaliti mkuu wa demokraamsia nchini

Hebu tuliza akili wakati unaandika,Tunajua Zitto anawapa wakati mgumu sana. Lakini vumilieni ndio siasa hizo.
 
Tawa umezaliwa siku gani wewe mbona una akili saana anayebisha ni shabiki na hana uzalendo wa nchi yake au ni mkimbizi au.... ..
 
Haswaa...tatizo wengi wetu bado tunaona kwa macho mawili..wenzetu wako kimkakati zaid. nadhani tutakapogundua ukweli basi inaweza ikawa too late kwani speed waliyonayo ni kubwa mno.

zaid ya kubwa muhimu tuache kelele tufocus
 

- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.

Kipindi Kile CUF wakiitwa Mashoga , CCM B, ulikuwa bado hujazaliwa?
 
Ni mwizi wa fikra za maendeleo ya Mtanzania.

Swissme
 

ndiyo manapokosa malengo... CCM wamegawa chadema kwa kuanzisha ACT wewe hujuulizi kwa nini wafuasi wa CCM wakiamia ACT wapo kimya wanajua wanachokifanya.. nasikitikia chadema kwa kudhindwa kuona hili na kuongoza na matukio jambo ambalo sasa badala ya kufocus kwenye chana tawala vyama pinzani sasa wameaaza kutoelewana mwisho wa siku chama tawala kitabaki... upinzani mchezo mnaoucheza kocha ni yeye na mtoa maamuzi ni yeye.. uwanjani upinzani tumeishia kupigana vikumbo na kutupiana lawama huku mtawala akitoa maamuzi kupendelea upande wake ..... the game still continue .. acha tuendelee kutazama..... think big
 
na huo ndio mpango wao, kuiua chadema katika uchaguzi wa mwaka huu.
cdm sio rahisi kufa kwa sababu hata mwanzilishi wake baada ya kutofautiana na Mwalimu alijiuzuru na kukaa pembeni badala ya kuendelea kukaa kwenye chama asichokubaliana na falsafa zake.
Sasa hivi vyama vinavyoanzishwa kwa kutumia nguvu za vyama vingine ndivyo vitaanza kufa. Chadema ni kwa ajili ya kukomboa nchi hii sio kwa ajili ya uchaguzi kama akini Rungwe na ayatollah mwenyewe!

 
Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.

Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.

MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
 
Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?

Ajibu maswali na so blabla. au wapambe wake jibuni hayo maswali acheni kulialia hapa jf.
 
Tulianza na Mungu na tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu.

swissme
 

Upotoshaji wake lazima uwekwe wazi ili hata ile misukule yake fuata upepo imwelewe vizuri.Hatuwezi kuwaacha nbwa koko waendelee kupotosha watz
 

Kama wanyonge wa Tanzania kawasaliti wewe Chadema hofu ya nin?si wananchi watampuuza tu na kumuona msaliti?
 
The painful reality ni kwamba wachagga wana discipline fulani inayowapa success kila waendapo,hata wakiwa wao ndio wasio na kitu haichukii muda akina nyie mtaanza waona washamba,then mtawaona wabahili mkishaanza ona wanakwenda,kiasha mtaanza kudaiwa nao sana ....mwisho mtaanza chuma ulete.Ila kazi ya chuma ulete haifikii ya wanayotengeza hela mwisho chuma uleta inakufa kifo cha mende wakiwashtukia.Mwisho mnaanza lia kuwa ni wezi.Hakuna chana hakina mchaga...hata wanapopigwa vita km CCM bado jamaa ni central.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…