Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
hivi ushawishi alionao ZZK unaanzia wap kusema et anajuta? ZZK akiitisha mkutano mkoa wowote ni mafuriko ya watu hilo hata Prof Lipumba namuheshim sana lkn hili analifaham kuwa ZZK kwa sasa is another person
Endelea kujidanganya,vipi alivyopigwa mawe geita,bukoba na mbeya?hivi watu kujaa kwenye mkutano ndio kupata uongozi?naona wewe ni mgeni wa siasa,muulize lyatonga