Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,716
Mbowe ni mlafi wa madaraka na asipoangalia uwaziri atausikia chooni

Uwaziri wa wapi? Mbowe anajua fika Lowasa hapati urais ila alikula pesa yake tu na kukubali kuwa timu Lowasa. Mwisho wa siku CHADEMA wala Lowasa hawataunda serikali sasa Mbowe ategemee urais kutoka wapi? Yeye deal yake iliisha alipochuma pesa kutoka kwa anayetafuta urais kwa udi na uvumba.
Ukitumiwa sana unajisahau, ndio maana hata hizi taasisi nyingine inabidi wamrudie JK pale aliposema "za kuambiwa changanya na zako". Dhambi ya usaliti haimwachi mtu.

Nilijua tu ujuaji wenu ungewapatia aibu kubwa sana badae.Hawa majamaa walijiona wasomi na akili nyingi.Waliunda waraka wa kutaka kumpindua Mbowe,pamoja na mengi pia walijitanganya kuwa eti Chadema imepoteza dira,kibaya zaidi walimdharilisha Mh.Mbowe na kumuandika kuwa yupo "local".Sasa tunamuomba Zito na genge lake mkazie kauli yenu..Mkizingatia kuwa mmejipambanua kuwa Chama chenu ni cha kisomi,lakini mmefikia hatua ya kukosa mgombea urais.Mara Dr.Mkumbo,...amekula chocho.Mkamleta Mwigamba nae amekimbia.hatimae mmemzoa mama Mwenyekiti...Leo hii tume inawakana na kufafanua kuwa fomu iliyochukuliwa awali inatakiwa kujazwa na kurudishwa na Dr.Kitila tu na si vinginevyo.

Sipendi sana ushabiki wa siasa lkn naamini zitto is one of the smartest politicians of my time, he comes after Nyerere and Sokoine
Sio Uru Kishumundu kweli?Si bure utakua na akili kama za mbunge wa moshi vijijin aliyemaliza mda wake. Yawezekana unatokea maeneo ya kahe utakua umeungua sana na jua akili zikahama.