Ni kweli ZZK alitumika na Mengi kumtoa Mhongo kwenye sakata la ESCROW, Alipewa fedha hata hivyo alimsaliti tena Mengi kwa kumueleza JK habari ile iliyosemwa na Mengi.
kama ni damage ya kisiasa basi ashakutana nazo nyingi sana n mtu mwenye roho ngumu angekuw ashatoka kwenye msitar juz mmetengeneza email; sasa itakua hiyo tu said kubenea anaamka anaandika kwenye gazet la rugemalila.... akisema ajibu kila siku atakua wa kujibu tuhuma coz haziishi na sie tunamuhotaj kutumikia taifa na chama xo ipo hvo na kwa kuwa ameongea mengi mtu mwenye heshima zake ndo anajibiwa angekua lema angejijibu mwenyeweToka nianze kujua siasa za nchi hii hakuna mwanasiasa aliyewahi kutuhumiwa akakubali kosa hata kama ni kweli...... hata serikali imekuwa ikituhumiwa mambo mengi lakini imekuwa ikikanusha na baadae imekuja kujulikana ni kweli...ninachookiona kwenye sakata la mengi kutaka kuiangusha serikali ya kikwete, mzee mengi hajakurupukaa ana timu yake ya intelijensia hadi kuja kulalamika kwenye vyombo vya habari kuna kitu amekiona na amefanya uchunguzi binafsi akagundua kuna kitu mbele ya sakata hili.......hata kina kitila na mwigamba walipoambiwa wameandaa wa waraka wa mapinduzi chadema walikataaa...ushahidi ulipotolewa kitila alikubali lakini akadai hawakumshirikisha zito kwenye sakata lile
kwenye hili sakata kuna watu wameingia choo cha kike na mwisho wao unakaribia ..hizi tuhuma zina wiki tatu kwa wanasiasa ni hatari sana kuhusishwa na kitu tena kwenye vyombo vya habari ukae kimya hadi mtuhumiwa anapolalamika ndio ukanushe hapa kuna walakini......unaweza kukanusha lakini damage yako kisiasa imeshafanyika na itakugharimu mbele ya safari tofauti na ambavyo ungekanusha siku ya kwanza.........ni sawa na mbowe alivyotuhumu tume ya uchaguzi kuwa wakimuongezea muda Jk patachimbika tuliona siku ya pili tuu mwenyekiti wa tume alijibu tuhuma zile kuwa hakuna atakayeongezewa mda hata kama moyoni unajua jibu lake ni bora ujitokeze mapema kujibu mashambulizi usisubiri damage itokee ndio utafute majibu
huu uzi hautakaa
Mods ondoeni hizi bange za BAVICHA
Zitto Kabwe ni ukoma katika maendeleo ya demokrasia katika TZ.Hakika anatumika lengo lake ni kutaka kugawa kura hasa zile zinazolelea na kura hizo ndio hatari kwa ccm,na ccm wanajua hilo.Ndio maana huyu bwana anatumika kwa maslahi hayo.Hakika kama angekuwa anapenda upinzani asinge "divide voters."Hivyo kwa wakati huu anaweza kuja na ghiliba nyingi lakini zote ni mipango tu.Na hicho chama ni cha kisanii yenye malengo tu ya kuwagawa wapiga kura.Ndio maana yeye hata bila kibali atafanya tu mkutano.Lakini kwa kuwa watanzania wana kiu ya mageuzi atatupwa.Ni rahisi sana kummaliza na nina uhakika na viongozi wa ukawa watakapo anza kazi watammaliza kirahisi sana maana yuko mwenyewe.Zitto Kabwe ambaye usaliti wake umeanza kuwekwa wazi amefanya kituko cha kisanii baada ya kukabidhi hadharani bendera na vifaa vipya vyenye rangi za kijani na njano kutoa taswira kwamba kuna wana CCM wamejisalimisha ACT.
Tukio hili la kisanii limekuja baada ya Zitto kutuhumiwa kutumiwa kwa muda mrefu na CCM kuhujumu upinzani. Tukio hili linataka kujenga picha kuwa Zitto ni mpinzani na sio sehemu ya CCM.
Kwamba baada ya taarifa kuvuja juu ya mahusiano ya kihujuma kati ya Zitto na Ikulu sasa Zitto anakuja na kituko kuwa yeye sio CCM.
Zitto Kabwe ambaye usaliti wake umeanza kuwekwa wazi amefanya kituko cha kisanii baada ya kukabidhi hadharani bendera na vifaa vipya vyenye rangi za kijani na njano kutoa taswira kwamba kuna wana CCM wamejisalimisha ACT.
Tukio hili la kisanii limekuja baada ya Zitto kutuhumiwa kutumiwa kwa muda mrefu na CCM kuhujumu upinzani. Tukio hili linataka kujenga picha kuwa Zitto ni mpinzani na sio sehemu ya CCM.
Kwamba baada ya taarifa kuvuja juu ya mahusiano ya kihujuma kati ya Zitto na Ikulu sasa Zitto anakuja na kituko kuwa yeye sio CCM.
Zitto Kabwe ni ukoma katika maendeleo ya demokrasia katika TZ.Hakika anatumika lengo lake ni kutaka kugawa kura hasa zile zinazolelea na kura hizo ndio hatari kwa ccm,na ccm wanajua hilo.Ndio maana huyu bwana anatumika kwa maslahi hayo.Hakika kama angekuwa anapenda upinzani asinge "divide voters."Hivyo kwa wakati huu anaweza kuja na ghiliba nyingi lakini zote ni mipango tu.Na hicho chama ni cha kisanii yenye malengo tu ya kuwagawa wapiga kura.Ndio maana yeye hata bila kibali atafanya tu mkutano.Lakini kwa kuwa watanzania wana kiu ya mageuzi atatupwa.Ni rahisi sana kummaliza na nina uhakika na viongozi wa ukawa watakapo anza kazi watammaliza kirahisi sana maana yuko mwenyewe.
Mi nashindwa kuwaelewa.. sasa alivyofukuzwa CDM mlitaka aende wapi? Akafanye nini?
Jebu tusaidiane kumshauri pengine mnaweza kuwa na better alternative way
Mi nashindwa kuwaelewa.. sasa alivyofukuzwa CDM mlitaka aende wapi? Akafanye nini?
Jebu tusaidiane kumshauri pengine mnaweza kuwa na better alternative way