Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Wewe kweli moto chini,
Nani anayesema Chadema ni chama cha wachagga?,

Ikiwa wafuasi wa chadema( wasaliti) ,waliofukuzwa chadema,walisema saccoss ya wachagga tukieleje chama ambacho kinawapokea?

Wewe narudia huu si muda wa siasa za chuki,fitina una miezi 4 mbele unakalia chuki unategemea nini? weka mazuri ya chamalako watu waone wapime na si kumzungu mzia mtu kilasiku hum
 
Sasa umesha sema unatarajia yaani wewe pekeyako, sasa hakuna shida endelea kutarajia hivyohivyo

Kweli wasikuma waliooa uchagani walikubagua,
Wahaya waliooa Moshi watakubagua,
Wanyakyusa waliooa huko moshi watakubagua,

Wakurya waliooa huko Moshi watakubagua,
Waruguru na wapogoro waliooa au kuolewa Moshi watakubagua,

Wasambaa,wapare,wakinga na wazaramo waliooa au kuolewa Moshi watakubagua,

Ni kweli saccoss hii ni kubwa,nchini
 
ZZ ni msaliti wa harakati za mabadiliko hapa nchini. Akumbuke kina Dr. Lamwai, Mrema na wenzao walivyofanywa toilet paper na CCM hii hii.

Pia anayo bahati sana kuzaliwa Tanzania.... Ingekuwa Russia angeshapigwa risasi za kutosha.
 
Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?

Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?

Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa

Hakuwa mke ila beki taraa
 
Nawashangaa sana watu mnaosema eti zitto alianzisha act akiwa ndani ya chadema. Ni kutufanya mazuzu sie.

Uanachama wa zitto ulivunjwa kitambo sana. Na zitto(coz ni Mtaalam wa siasa) alikwenda mahakamani kuzuia issue yake hiyo isitajwe wala kujadiliwa so that ajipange yeye na mustakabali wake wakisiasa.

Hata kama asingeanzisha ACT, Still asingebakia mwanachama wa chadema. Angefukuzwa kwa namna yoyote coz hiyo ndo ilikuwa kaulimbiu na msimamo wa kina mbowe.

Ni mtazamo tu. Msijenge chuki!
TAWA , Tky mpk
 
Last edited by a moderator:

Sijawahi kuona mtu asiye jua kutafakari Kama wewe
 
Last edited by a moderator:
Toka nianze kujua siasa za nchi hii hakuna mwanasiasa aliyewahi kutuhumiwa akakubali kosa hata kama ni kweli...... hata serikali imekuwa ikituhumiwa mambo mengi lakini imekuwa ikikanusha na baadae imekuja kujulikana ni kweli...ninachookiona kwenye sakata la mengi kutaka kuiangusha serikali ya kikwete, mzee mengi hajakurupukaa ana timu yake ya intelijensia hadi kuja kulalamika kwenye vyombo vya habari kuna kitu amekiona na amefanya uchunguzi binafsi akagundua kuna kitu mbele ya sakata hili.......hata kina kitila na mwigamba walipoambiwa wameandaa wa waraka wa mapinduzi chadema walikataaa...ushahidi ulipotolewa kitila alikubali lakini akadai hawakumshirikisha zito kwenye sakata lile

kwenye hili sakata kuna watu wameingia choo cha kike na mwisho wao unakaribia ..hizi tuhuma zina wiki tatu kwa wanasiasa ni hatari sana kuhusishwa na kitu tena kwenye vyombo vya habari ukae kimya hadi mtuhumiwa anapolalamika ndio ukanushe hapa kuna walakini......unaweza kukanusha lakini damage yako kisiasa imeshafanyika na itakugharimu mbele ya safari tofauti na ambavyo ungekanusha siku ya kwanza.........ni sawa na mbowe alivyotuhumu tume ya uchaguzi kuwa wakimuongezea muda Jk patachimbika tuliona siku ya pili tuu mwenyekiti wa tume alijibu tuhuma zile kuwa hakuna atakayeongezewa mda hata kama moyoni unajua jibu lake ni bora ujitokeze mapema kujibu mashambulizi usisubiri damage itokee ndio utafute majibu
 
Nianze kukupa hongera kwa kazi nzuri ya kujipambanua rangi yako na wa Tanzania kukufahamu ya kuwa ww ni mbwa mwitu, uliuekuwa umejivisha ngozi ya kondoo na kumbe ni chui tena hatari kwa maisha yet, skatai ww kama kijana umefanya yapo mengi mazuri na ya kukumbukwa, lakini umesahau jambo Moja tu kuwa heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake"hakuna mtu awaye yeyote ambae alikuwa modal Wang kama zzt. Naskitika kukuambia kuwa you will remain unforgettable memory in my mind.jipe moyo na kazi ya ukasuku ulochagua.
 
Watu wengine mnatumia kichwa kufugia nywele utumbo wote ulioandika hapo hujishtukii.Gazeti linamilikiwa na James Rugemalira unategemea nini hapo.Na mbaya zaidi James anashirikiana na Said Kubenea wa Chadema.Picha hujapata bado au nikumalizie kipande cha mwisho.
 
huu Uzi probability ya kukaa ni ndogo sana
 
Ni kweli ZZK alitumika na Mengi kumtoa Mhongo kwenye sakata la ESCROW, Alipewa fedha hata hivyo alimsaliti tena Mengi kwa kumueleza JK habari ile iliyosemwa na Mengi.
 
Watu wengine mnatumia kichwa kufugia nywele utumbo wote ulioandika hapo hujishtukii.Gazeti linamilikiwa na James Rugemalira unategemea nini hapo.Na mbaya zaidi James anashirikiana na Said Kubenea wa Chadema.Picha hujapata bado au nikumalizie kipande cha mwisho.

Wakati nasoma bachelor ya Political Science kna topic moja ilikuwa inaitwa Propaganda tena kwenye international relations...........sikuwa naamini kama inaweza kugombanisha watu hasa sisi africans lakini kwa hili la Zitto na Mengi imematerialize
 
Watu wengine mnatumia kichwa kufugia nywele utumbo wote ulioandika hapo hujishtukii.Gazeti linamilikiwa na James Rugemalira unategemea nini hapo.Na mbaya zaidi James anashirikiana na Said Kubenea wa Chadema.Picha hujapata bado au nikumalizie kipande cha mwisho.

pia James ni mshikaji wa JK ebu connect dot hapo, zitto alimtonya JK kuhusu Mengi, JK akamtonya mshikaji wake Ruge
 
Ni kweli ZZK alitumika na Mengi kumtoa Mhongo kwenye sakata la ESCROW, Alipewa fedha hata hivyo alimsaliti tena Mengi kwa kumueleza JK habari ile iliyosemwa na Mengi.

Mzalendo wa watu kapewa kamilioni 80 kakakunja taaribu mfukoni waa,bila kujali kuwa mzalendo wa kweli hatakiwi kuchukua hongo.
 
Watu wengine mnatumia kichwa kufugia nywele utumbo wote ulioandika hapo hujishtukii.Gazeti linamilikiwa na James Rugemalira unategemea nini hapo.Na mbaya zaidi James anashirikiana na Said Kubenea wa Chadema.Picha hujapata bado au nikumalizie kipande cha mwisho.

Mtoa hoja anauliza
1.Siku zaid ya 21 ZZK alikuwa wapi kukanusha?

2.Alisubili Mzee Mengi aongeee?

3.Kama Mengi angenyamaza ZZK naye angenyamza?

4. Kama ndivyo je jamii imwamini ZZK? Kwanini...
 
Back
Top Bottom