Kwanini Zanzibar ni maarufu ulaya na Amerika kuliko Tanzania wakati ni nchi moja?

Arusha kuna vumbi, mvua ikinyesha kuna tope balaa kiufupi huko walipaswa kukaa wanyama aridhi iko kama mbuga
 
Ilifanywa makusudi wakati wa kuungana, Nyerere hakutaka Zanzibar ipoteze asili yake lakini alitegemea vizazi vya wazanzibar vinavyokuja vingeona manufaa ya muungano vingedai tuwe nchi moja lakini kadri tunavyoendelea wanazidi kujiona waoman
Sio kweli shinikizo la Muungano lilitoka Marekani na Uingereza ili kuiepusha Zanzibar kuwa Quba ya Afrika
 
Unajadili vitu tofauti hapa hatuzungumzii kwanini Zanzibar na Tanganyika ziliungana Bali kwanini Zanzibar ni maarufu kuliko Tanzania
Ni kweli ila mimi nimejibu ulicho andika wewe na sio mada, hata hivyo tunaweza kuendelea na mjadala kwanini Zanzibar ni maarufu. Ahsante
 
KUWEPO NA ZANZIBARA NA ZANZIBARI MWAONAJE YAKHEEE!(ZANZ BAR SIO JINA ZURI SANA MAANA NI LA UBAGUZI) MAANA YAKE NI "GOLO" au "KIUMBE CHEUSI"
 
Hata Dubai ni maarufu kuliko Nchi husika yaani United Arab Emirates,Dubai ni mji uliopo ndani ya UAE,
Dubai sio nchi,ni jimbo tu kama ilivyo California USA,

Kuna miji hua maarufu kuliko Nchi husika coz watalii huitembelea zaidi hiyo miji.
Kama Moshi ilivyokuwa maarufu kuliko Kilimanjaro
 
Hata mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti ni maarufu sana kuliko Tanzania kama nchi.Sio jambo la ajabu,
Zanzibar inachukuliwa kama kivutio Cha utalii na sehemu ya historia,lakini Zanzibar kama nchi na watu wake,hawana upekee wowote huko nje.
Nikupe mfano kidogo,Israel inafahamika kwa kuwa na watu wenye Elimu kubwa na wavumbuzi wa mambo ya sayansi kwenye nyanja nyingi.
Ethiopia Kuna wanaliadha wazuri sana,
India ina wahandisi wengi wa IT,Zenj Kuna nini?ni kivutio tu kama kwenda kumuangalia Simba na tembo Mbugani
 
Mkuu Zanzibar ni maarufu tu huko Oman, kwani wa Oman wengi ndio wenye Zanzibar, unaposema inajulikana Ulaya sijui Ulaya gani labda ukisema sasa Ulaya ndio wanajua kuwa kumbe mama mkuu wa kaya anatoka Zanzibar na si vinginevyo sana sana wanajua historia ya utumwa Zanzibar.
 
Hata sisi hatuwataki kwanza ni wabaguzi sana
 
Wapemba na waunguja wamezagaa dunia nzima,hawa wajamaa watafutaji sana nenda Canada,uingereza,dubai,Qutar,Oman,china,USA wapo.

Watanga na nyika nyie ni wavivu endeleeni kuchanga mang'ombe na kulima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…