johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,126
- 144,085
Wakitangazwa mnasema mambo ya familia, kwanini familia zingine zinatangazwa, ikitangazwa ya Mbowe kunakuwa na NONGWA au ni special?Kwasababu wao wana VIONGOZI sisi tuna WATAWALA.
Nyinyi mkificha hamfi ?... kwanza corona yaani afya sio suala la muungano.
... pili eneo dogo sana lile, wakificha taarifa watakwisha wale.
Nadhani Hamad hatambuliki WHO!... kwanza corona yaani afya sio suala la muungano.
... pili eneo dogo sana lile, wakificha taarifa watakwisha wale.
... by the way, idadi ya wagonjwa wa Tanzania inajumuisha ile ya Zanzibar? Namaanisha jumuiya za kimataifa kama WHO wanachukua taarifa za Ummy au wanachukua za Ummy na kuongeza zile za Zanzibar kama statistics za Tanzania?
Mbowe katangazwa na Ummy!Wakitangazwa mnasema mambo ya familia, kwanini familia zingine zinatangazwa, ikitangazwa ya Mbowe kunakuwa na NONGWA au ni special?
Corona haina CHAMA
Sielewi bwashee........nielimishe!Bila shaka unaelewa maana ya "itifaki".
Hivi Bashiru Ally yupo wapi?
Labda kapata corona na kaamua kaji social distanceHivi Bashiru Ally yupo wapi?