The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
- Thread starter
- #21
Mkuu kwanza katika biashara ngumu zaidi duniani ni biashara ya usafiri wa ndege, ndio maana kati ya makampuni yanayozugumzia hasara zaidi duniani ni ya ndege na ukisema Zanzibar wangeachana na local travel na kujikitazaidi na international travel, nani apande ndege ya Zanzibar wakati anayaona makampuni makubwa ya ndege kama KLM, SWISS AIR, LUFTHANSA, EMIRATE, QADAR AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS nk yenye uhakika wa usalam
Watu hu prefer local airline wanapoenda kutembelea nchi husika..