Kwanini Yanga hawataki Simba ishike nafasi ya pili

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Unajua kwanini yanga hawataki kusikia simba wanashika nafasi ya pili?

Kabla ya ligi ya msimu ujao kuanza kunakuwa na pambano la ngao ya jamii inayoikutanisha mshindi wa kwanza na wa pili. Sasa unafikiri yanga wanapenda hilo?

Ndio maana wapo tayari kufungwa na azam ili simba tuu wasishike nafasi ya pili

kwa nini wakubali kukutana na simba ambayo inawapa fedheha kila wakati. Wanaomba kila kukicha azam wapate nafasi ya pili ili waepukane na gharika itayowakuta kwenye mchezo wa ngao ya hisani
 
Kwa level yako ya ufahamu ninavyoifahamu mimi na kuandika utumbo kama huu ni kujishushia heshima uliyonayo....
Ila sikulaumu sana kwa sababu aliyewahi kuwa mwenyekiti wenu wa timu ndugu Ismail Aden Rage alituambia jinsi mashabiki wa simba mlivyo.....
 
Unapoadika Kitu Basi Kimalizie Sawa? Usiwe Na Akili Za Kimagomeni Mapipa Kwa Macheni Kama Alizonazo Mpayukaji Wenu Na Mwenyekiti Wenu.
 
Kwa level yako ya ufahamu ninavyoifahamu mimi na kuandika utumbo kama huu ni kujishushia heshima uliyonayo....
Ila sikulaumu sana kwa sababu aliyewahi kuwa mwenyekiti wenu wa timu ndugu Ismail Aden Rage alituambia jinsi mashabiki wa simba mlivyo.....

Hahahaaa
 
Haaa yaaani unakubaliana na yule msomali kuwa sisi ni mambumbumbu,
 
Kwa level yako ya ufahamu ninavyoifahamu mimi na kuandika utumbo kama huu ni kujishushia heshima uliyonayo....
Ila sikulaumu sana kwa sababu aliyewahi kuwa mwenyekiti wenu wa timu ndugu Ismail Aden Rage alituambia jinsi mashabiki wa simba mlivyo.....
sasa tupe sababu moja kwanini hamtaki simba ishike nafasi ya pili? mnachohofia ni nini?
 
1. Haina uwezo wa kushika hiyo nafasi.

Azam amebakiza mechi 4 ambapo anaweza kupata pointi 12 ukijumlisha na zile 42 alizonazo anaweza kufikikisha pointi 54. Simba amebakiza mechi 3, ana pointi 38 anaweza kufikisha pointi 47, kuna gap la pointi 7. Ili Simba aweze kushika nafasi ya pili ina maana Azam apoteze kwa uchache ponti 8 ambazo ni sawa na kufungwa michezo miwili na kutoa sare mbili katika michezo minne iliyosalia jambo ambalo ni vigumu kutimia.

2. Simba mkishika nafasi ya pili mtashiriki Kombe la Shirikisho Africa, tunataka muendelee kusota mchangani.
 
sasa tupe sababu moja kwanini hamtaki simba ishike nafasi ya pili? mnachohofia ni nini?

Kwa hiyo kama Yanga hataki,na nyie ndio mnakubali kufungwa na Stand,Kagera,Mbeya City ?
Timu yenu imeshakuwa kibonde na msipoangalia mtaendelea kuwa washiriki wa Vodacom premier league kama Coastal ,Stand au JKT Ruvu
 
Kibaya zaidi ni kwamba hadi leo hamjajua tatizo la timu yenu
 
Kwa hiyo kama Yanga hataki,na nyie ndio mnakubali kufungwa na Stand,Kagera,Mbeya City ?
Timu yenu imeshakuwa kibonde na msipoangalia mtaendelea kuwa washiriki wa Vodacom premier league kama Coastal ,Stand au JKT Ruvu

tunataka tukutane kwenye ngao ya hisani tujue nani ni kibonde
 
Mtoa mada umekula maharagwe ya monduli bila shaka.. Anyway... Kwa hyo simba maandalizi yao ligi nzma ni kwa ajili ya yanga tu??😱
 
sasa tupe sababu moja kwanini hamtaki simba ishike nafasi ya pili? mnachohofia ni nini?

Kwani Yanga ndio inapanga msimamo wa ligi? Tafuteni matokeo uwanjani. Achana na stori za vijiwe vya kahawa. Kweli mbaazi ikikosa maua.............!
 
Na hili wazo la wadau wa soka nchini kuwa mshindi wa mtani jembe ndo awakilishe klabu bingwa sijui Yanga watalikubali
 
tunataka tukutane kwenye ngao ya hisani tujue nani ni kibonde

Akili yenu iko kwenye makombe ya siku moja,kama unataka ucheze na Bingwa onyesha kiwango sio unafungwa na kina Stand,MCC,Kagera halafu utegemee kucheza na bingwa,undugu wenu na Azam umeshakufa?
 
Back
Top Bottom