mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Tutakutanaje kwenye ngao ya hisani wakati nyinyi ni vibonde!!!tunataka tukutane kwenye ngao ya hisani tujue nani ni kibonde
Ungejitahidi basi walau ukapata nafasi ya pili halafu uone kama yanga ingewakataeni....