mkuu kuna kitu huwa sielewi , kwa wenye ujuzi tunaomba mtufahamishe --- Pesa inaweza kuibiwa vipi BOT au HAZINA bila kujulikana nani kachukua na kaenda kuifanyia nini?
Na kwa kipekee kabisa kama JPM tunakubaliana alikuwa ndo shujaa wetu iliwezekana vipi yeye ndani ya miaka 6 ya uongozi wake alishindwa kuweka mfumo wa kudhibiti kwamba pesa ya serikali kutoibiwa kupitia sehemu hizo mbili. Namtumia JPM kwa sababu yeye ndo anakubalika na wengi kama SHUJAA na MZALENDO
naamMoja kati ya Makosa ya Jiwe aliamini katika Yeye, Yani yeye ndo alikua Mfumo.
Hakujisumbua kusuka Mifumo Imara, Akifikiri yeye atatawala milele
Mafungu ya pesa za bajeti ya mwaka uliopita badala ya kurudishwa hazina, watendaji wanabuni matumizi yakulazimisha yanayolenga kuonyesha kuwa pesa zilitumika. Watendaji hujipangia safari mikoani, warsha na semina au utalii wa ndani kama ule uliofanywa Zanzibar watumishi wa wizara moja mwishoni mwa mwezi wa sita.mkuu kuna kitu huwa sielewi , kwa wenye ujuzi tunaomba mtufahamishe --- Pesa inaweza kuibiwa vipi BOT au HAZINA bila kujulikana nani kachukua na kaenda kuifanyia nini?
Na kwa kipekee kabisa kama JPM tunakubaliana alikuwa ndo shujaa wetu iliwezekana vipi yeye ndani ya miaka 6 ya uongozi wake alishindwa kuweka mfumo wa kudhibiti kwamba pesa ya serikali kutoibiwa kupitia sehemu hizo mbili. Namtumia JPM kwa sababu yeye ndo anakubalika na wengi kama SHUJAA na MZALENDO
sawa nimekuelwa mkuu --- ila mtoa mada anasema pesa zimekwapuliwa huko hazina zinapokaaMafungu ya pesa za bajeti ya mwaka uliopita badala ya kurudishwa hazina, watendaji wanabuni matumizi yakulazimisha yanayolenga kuonyesha kuwa pesa zilitumika. Watendaji hujipangia safari mikoani, warsha na semina au utalii wa ndani kama ule uliofanywa Zanzibar watumishi wa wizara moja mwishoni mwa mwezi wa sita.
Nchi wakandarasi linaweza kua ni tabaka la mwisho ukitoa walimu wakandarasi wanafuatia utasikia wanasema 5 tenaWakandarasi wanalipwa🤣
NO REFORMS, NO ELECTION.Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?
BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa
TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?
Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.
Wazalendo simameni tukomboe nchi!
Ndio nakuuliza fedha za serikali uwa zinaibiwaje? Kama hujui zinaibiwaje kawatafute accountants wa serikali watakupa elimu mimi siwezi kukupa elimu hapa huo muda Sina, lengo langu hapa ni kutoa taarifa wahusika wawe macho. Kama na wewe ni mmoja wa wezi be careful!ungejibu swali
Hawawezi kuziba loophole ambayo inawanufaisha wote kwa kulindana, ile kitu inayoitwa ''Collective responsiblity'' inawahusu wote kutoka juu hadi chini.sawa nimekuelwa mkuu --- ila mtoa mada anasema pesa zimekwapuliwa huko hazina zinapokaa
mwisho Magu kwanini hakuziba hii loophole - kwa ushupavu wake sidhani kama hakuna hii loophole?
tunakwama wapi kujenga mifumo imara?
UMegomaNdio nakuuliza fedha za serikali uwa zinaibiwaje? Kama hujui zinaibiwaje kawatafute accountants wa serikali watakupa elimu mimi siwezi kukupa elimu hapa huo muda Sina, lengo langu hapa ni kutoa taarifa wahusika wawe macho. Kama na wewe ni mmoja wa wezi be careful!
ShukraniHawawezi kuziba loophole ambayo inawanufaisha wote kwa kulindana, ile kitu inayoitwa ''Collective responsiblity'' inawahusu wote kutoka juu hadi chini.
Mafungu ya pesa za bajeti ya mwaka uliopita badala ya kurudishwa hazina, watendaji wanabuni matumizi yakulazimisha yanayolenga kuonyesha kuwa pesa zilitumika. Watendaji hujipangia safari mikoani, warsha na semina au utalii wa ndani kama ule uliofanywa Zanzibar watumishi wa wizara moja mwishoni mwa mwezi wa sita.