Tetesi: Kwanini yanafanyika malipo yasiyoeleweka?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?

BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa

TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?

Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.

Wazalendo simameni tukomboe nchi!
 
BOT imetekwa na hazina watu wanalipwa malipo mengi hewa

Tiss mpo wapi
 
Msimamizi mwenyewe ndio huyo anademka demka unategemea nini
 
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?

BOT imetekwa na hazina watu wanalipwa malipo mengi hewa

TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?

Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.

Wazalendo simameni tukomboe nchi!
Kuleta porojo bila mifano halisi nk utakua ujatutendea haki mkuu
 
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?

BOT imetekwa na hazina watu wanalipwa malipo mengi hewa

TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?

Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.

Wazalendo simameni tukomboe nchi!
mkuu kuna kitu huwa sielewi , kwa wenye ujuzi tunaomba mtufahamishe --- Pesa inaweza kuibiwa vipi BOT au HAZINA bila kujulikana nani kachukua na kaenda kuifanyia nini?

Na kwa kipekee kabisa kama JPM tunakubaliana alikuwa ndo shujaa wetu iliwezekana vipi yeye ndani ya miaka 6 ya uongozi wake alishindwa kuweka mfumo wa kudhibiti kwamba pesa ya serikali kutoibiwa kupitia sehemu hizo mbili. Namtumia JPM kwa sababu yeye ndo anakubalika na wengi kama SHUJAA na MZALENDO
 
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?

BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa

TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?

Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.

Wazalendo simameni tukomboe nchi!
How?
 
Jiongeze mzee malipo hewa

Riba hewa

Mambo yamerudi Kama kwa Kikwete kipindi kile
 
last paragraph umeisoma kweli mkuu? -- maana kwa jibu hilo ulilolitoa ni la paragraph ya kwanza

last paragraph hujaijibu
 
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?

BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa

TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?

Nchi inaibiwa nchi inaporwa naona waporaji wanakausha Kama walivyofanya baada ya Magufuli kufariki.

Wazalendo simameni tukomboe nchi!
Haya yote yaliandaliwa na Polepole na Magufuli na Bashiru Leo wanamlaumu Samia na Eti Polepole nae anamlaumu Samia CCM SIO CHAMA TENA WATANZANIA WAFAHAMU HIVYO. IELEWEKE KWAMBA NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE MENGINE YOTE NI UONGO NA USHENZI MTUPU WENYE UOZO UNAONUKA NA UNAOTOA MAFUNZA.
 
last paragraph umeisoma kweli mkuu? -- maana kwa jibu hilo ulilolitoa ni la paragraph ya kwanza

last paragraph hujaijibu
Nini maana ya wizi?
 
Back
Top Bottom