Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,739
- 4,667
Habarini wanajamii
Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii?
-Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa?
-Au kubeba mimba bahati mbaya
Tatizo ni nini hasa?
Huko mtaani kila kona ukipita unaitwa anko ankoo, mabinti wamezalishwa halafu wametelekezwa.