Kwanini wenye shahada wasilipwe mshahara?

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
ULAYA WANALIPWA KWA GADAFI ILIKUWA HIVYO KWANINI TANZANIA WENYE SHAHADA BILA KUJALI WANAAJIRA AU LA WALIPWE MSHAHARA JAPO TGS C MAANA WENGI WAMO HUMU JAMII FORUM WANAJADILI MAMBO KWA AJJAILI YA TAIFA VOCHA WATOE WAPI WENGINE WANAKWENDA KWENYE MIJADALA MBALIMBALI JAPO HAWANA AJIRA NAULI WATOE WAPI.
 
We kichwa box kweli,Yaani unaona sirikali inakopa mishahara alafu tena itoe mishahara kwa wasio na kaZi.Mashamba yapo tu kibao,okota chupa,hela ya kujiunga mtandao i kila siku si uanzishe biashara ya vitumbua ambayo mtaji ni elfu 40
 
serikali ikiamua kulipa mishahara jobless.. napendekeza walipwe wagonjwa, wazee na watu wasio na elimu kabisa maana kukosa elimu kinawazuia kuona fursa zilizowazunguka..

graduates wasilipwe hata senti zaidi ya kukopeshwa mitaji tu tena na kupewa mwaka mmoja wa kujiweka sawa na baada ya mwaka waanze kulipa madeni...

elimu ni uwezo sio vyeti.. graduate kasoma degree ya ujasiriamali au utawala wa biashara bba au b com lakini anashindwa kuona fursa zilizojaa tanzania wanakuja wageni wahindi, wachina na wengineo wanatajirika tu hapa nchini..

ushawai kuona wale watanzania wenye asili ya india au waarabu na wapemba wanalalamika kwa serikali ajira hakuna... wao wanajiendeshea maduka yao tu na kampuni zao na ndio wanaishi maisha mazuri.. kina sisi na vyeti vyetu tunangangania ajira tu na hata mishahara bila kufanya kazi..

hata nchi zilizoendelea.usa na uk hakuna huo upumbavu wa kulipa watu wenye nguvu zao mishahara ya bure
 
ulaya na marekani ukifikisha miaka 18 unalipwa mshahara na ukija afrika unafikia kwenye NGO zao.halafu kusoma ni kazi kubwa kuliko hata ya kupara miwa kumbuka masika ngapi na mvua upo tu madaftari yasilowe.
 
serikali ikiamua kulipa mishahara jobless.. napendekeza walipwe wagonjwa, wazee na watu wasio na elimu kabisa maana kukosa elimu kinawazuia kuona fursa zilizowazunguka..

graduates wasilipwe hata senti zaidi ya kukopeshwa mitaji tu tena na kupewa mwaka mmoja wa kujiweka sawa na baada ya mwaka waanze kulipa madeni...

elimu ni uwezo sio vyeti.. graduate kasoma degree ya ujasiriamali au utawala wa biashara bba au b com lakini anashindwa kuona fursa zilizojaa tanzania wanakuja wageni wahindi, wachina na wengineo wanatajirika tu hapa nchini..

ushawai kuona wale watanzania wenye asili ya india au waarabu na wapemba wanalalamika kwa serikali ajira hakuna... wao wanajiendeshea maduka yao tu na kampuni zao na ndio wanaishi maisha mazuri.. kina sisi na vyeti vyetu tunangangania ajira tu na hata mishahara bila kufanya kazi..

hata nchi zilizoendelea.usa na uk hakuna huo upumbavu wa kulipa watu wenye nguvu zao mishahara ya bure
Utakuta umeajiriwa mwaka wa kumi halafu huna hata genge la kuuzia vitumbua ila unapiga kelele fresh graduate wajiajiri.
 
Yaani jitu baada ya kubuni miradi ya kuwainua kiuchumi unawaza kulipwa bila ya kufanya kazi....hii ni levo ya juu ya umasikini wa akili...
 
We kichwa box kweli,Yaani unaona sirikali inakopa mishahara alafu tena itoe mishahara kwa wasio na kaZi.Mashamba yapo tu kibao,okota chupa,hela ya kujiunga mtandao i kila siku si uanzishe biashara ya vitumbua ambayo mtaji ni elfu 40
Ungejua idad ya wafanyajaz hewa wanaolipwa UNGEZIMIA
 
Nakuwa nashangaa sometimes hili neno UJASIRIAMALI linatumika vibaya,mtambue kuwa ujasiriamali ni kipaji either unazaliwa nacho,ujuzi wa kurithi au kujifunza,baada ya hapo n practice ya huo ujasiriamali,mtu hajawahi kufanya biashara yoyoyte hata ya kuuza pipi leo hii umforce awe mjasiliamali,with vivid kwamba et mbona baresa anauza Ice cream,anza wewe uza uone kama utakuwa kama yeye,

na isichukuliwe kuwa mjasiliamali ni baada ya kukosa ajira ,HAPANA,Na unapofanya biashara yoyote lazima uwe na nia ya dhati kutoka moyoni ukizingatia,mtaji,soko na jinsi ya kutenganisha mauzo na faida ya biashara,mwingine hata kimoja wapo hatui kinafanyikaje,so graduate wenzangu msife moyo hata hao vigogo wanaosisitiza vijana wajiajira vijana wao wamekalia viti kwa ajili ya watoto wao tena hata si ajabu hawajijasilishi kama wanavyosisitiza ni waajiriwa.
 
Back
Top Bottom