Nakuwa nashangaa sometimes hili neno UJASIRIAMALI linatumika vibaya,mtambue kuwa ujasiriamali ni kipaji either unazaliwa nacho,ujuzi wa kurithi au kujifunza,baada ya hapo n practice ya huo ujasiriamali,mtu hajawahi kufanya biashara yoyoyte hata ya kuuza pipi leo hii umforce awe mjasiliamali,with vivid kwamba et mbona baresa anauza Ice cream,anza wewe uza uone kama utakuwa kama yeye,
na isichukuliwe kuwa mjasiliamali ni baada ya kukosa ajira ,HAPANA,Na unapofanya biashara yoyote lazima uwe na nia ya dhati kutoka moyoni ukizingatia,mtaji,soko na jinsi ya kutenganisha mauzo na faida ya biashara,mwingine hata kimoja wapo hatui kinafanyikaje,so graduate wenzangu msife moyo hata hao vigogo wanaosisitiza vijana wajiajira vijana wao wamekalia viti kwa ajili ya watoto wao tena hata si ajabu hawajijasilishi kama wanavyosisitiza ni waajiriwa.