Kwanini wengi wa wanawake wanfanya hivyo?????

...............Hapo nilipotia alama hapo--- tafadhali usiusemee moyo maana sio wanaume wote wenye tabia hii uliyoiongelea hapo. Mie nilikuwa nakatiwa simu ikiita mara mbili sijapokea inakatwa na hata upige utapiga weee hadi switch za Tigo zijam- hapokei na bado akirudi unatoa maelezo kwa nini amepiga simu imeita hukupokea!!

Kuna siku nilishawahiandika hapa kuwa kuna mtu akitoka kazini lazima awe na summary ya
1. Nani alimpigia na alimpigia kwa sababu gani
2. Missed calls - ni za nani na kwa nini hakupokea (Hata kama alibeepiwa au ilikuwa wrong number ni lazima ajue ni nani alimwrongia na kwa nini hakuwrong sehemu nyingine iwe kwake tu??)
3.
Huko nilikopaka rangi nimepapenda, wish all TZs tungekuwa innovative kama wewe especial on constructive issues. Usinielewe vibaya
 
weli alikupata dearest, sio uongo!...hatakaa apate tena maishani mwake...kaichezea hiyo!
Are you sure about that thing in red?? Yaani unadhani kina MJ1 wameisha dunia hii????!!!!!!!!! Sorry to dissappoint u, bado wako wengi sana. BTW huyo X wa MJ1 kiboko duh! Nashindwa kuelewa jinsi watu wengine wanavyoweza kuvumilia ujinga kwenye mahusiano. Pole MJ1.
 


teh teh teh teh duuuuuh hiiiyo kali mkuuu hapo lazima tu ndoa ikushinde sasa na turisha wahi sema thread ya simu ni kuna umuhimu wa wewe usome sms,na vitu vingine kwa simu ya mmeo au mkeo? hii ni kuwekeana pressure bandugu,

i dont dare touch my wife's phones at all, ni mazoe mabaya sana na sio mazuri and she does the same
Uko sahihi but kukiwa na sababu Ya kufanya hivyo so be it
 
Back
Top Bottom