Umeitendea haki username yakoIt's a tragedy to know that with over seven billion people on this planet today, only a minute fraction will experience a significant fraction of true LIVING. Majority are just EXISTING and then DIE without Living. It's more tragic to see great population is likely to follow the same path.....
LIVE BEFORE YOU DIE..!
I know the Concept of LIVING is not familiar to majority. As I once observed, the greatest tragedy of current generation is not Death but Dying without Living!Umeitendea haki username yako
Mhh Mmh pole sana sana Mimi mtoto wa mjomba aliyekuwa form four zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya mitihani ya taifa finals babaake alifariki... Baada ya kushauriana sana tukakubaliana tumwambie tu ukweli na aendelee tu na mitihani yakeMimi kifo sikiogopi, alianza kufa mama alipata ajali ya bus nimetoka kumsindikiza asubuhi ibungo mida ya mchana tumeongea akasema karibia afike nusu saa napigiwa simu kuna ajali na mwanye simu amefariki,, wacha kabisa nilikuwa kazini sikuaga kiumbe nilichomoka, mshua Nae alishazipata habari tukafarijiana. Alafu unakuwa auamini hadi ukishazika.... Miaka michache nikampoteza tena mzee aliumwa ghafla kumpeleka hosp asubuhi kesho yake Muda kama alioripoti hosp akatutoka..... Kufiwa kunauma asikuambia mtu..... Mzee na mama walikuwa watafutaji Sana na kama ni urithi wameacha wa kukumbukwa..... Waliangaika Sana walijitesa usiku na mchana kununua maeneo kujenga nyumba zote wameziacha na awakuna mawazo kama watakufa mapema hata Mimi sikuwai kuwaza vifo vyao.... Mimi Bado Nina mipangp mingi Sana kichwani na kuna vitu nataka kuvifanya Ila ninapowaza kifoooooooo ninavyunjika Moyo Nipo above 25.last Saturday nilikuwa kilimanjato st marygoreti graduation ya mdogo wangu nikasalimiana na mzee mmoja na yeye alikuja kwenye graduation ya mtoto wake, ninavyoandika Nipo kwenye msiba wa huyo mzee alipata ajali alhamisi usiku maeneo YA mlandiz bahati mbaya alifariki. Mshana Jr. Ebu toa wazo kijana wa mzee anae subiri kuanza paper la six mwezi may tumpe taarifa au tuuchune na kuna mdogo wake yupo form three hapohapo yeye atakuwa likizo YA Ester next week atakuja nyumban na atapata taarifa zote na baada YA Wiki mbili atarudi shule ataweza kujizuia akionana na ndugu yake asiweze kumwambia majanga yaliyopo nyumbaniii.... Ebu oneni kifo kilivyo hadi kuna wakati nasema kwanini Mungu aliweka kifo....
Mi naogopa mno kufa ,,,na kuna watu hivi kama 7 nikiwemo mim sitaki wafe kabisa huwa nawaombea kila siku wasife ,mpaka huwa nalia naomba sana ,,na huwa najuta kwanini tulizaliwa halaf tunakufa ,kaburi linatisha sana cc MwanamutapaUzuri wa kifo ni kuwa
Pale ambapo kifo kipo binadamu hayupo na pale ambapo binadamu yupo kifo hakipo, ukifa unakuwa haupo so hakuna haja ya kuogopa, na unaogopa kwa kuwa upo.
Wala haina haja ya kutishana, kifo ni moja ya ugunduzi bora kabisa kuwahi tokea ulimwenguni, kinatoa chance ya kizazi kimoja kurithisha dunia kizazi kingne.
[emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Mi naogopa mno kufa ,,,na kuna watu hivi kama 7 nikiwemo mim sitaki wafe kabisa huwa nawaombea kila siku wasife ,mpaka huwa nalia naomba sana ,,na huwa najuta kwanini tulizaliwa halaf tunakufa ,kaburi linatisha sana cc Mwanamutapa
Death is not to be feared! It's one of the state of which you should smile at. When you know 'Why you have Life ' and start to live accordingly, you'll find Death to be a motivator and not an inhibition fact. Live Fully, Die empty, smile at your Death.Mi naogopa mno kufa ,,,na kuna watu hivi kama 7 nikiwemo mim sitaki wafe kabisa huwa nawaombea kila siku wasife ,mpaka huwa nalia naomba sana ,,na huwa najuta kwanini tulizaliwa halaf tunakufa ,kaburi linatisha sana cc Mwanamutapa
Era of reasoning [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Death is not to be feared! It's one of the state of which you should smile at. When you know 'Why you have Life ' and start to live accordingly, you'll find Death to be a motivator and not an inhibition fact. Live Fully, Die empty, smile at your Death.
LIVE BEFORE YOU DIE!
It's a new Era of LIVING,,, The Sky is no longer the Limit.Era of reasoning [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Unaogopa kuoza baada ya kufa! kwani utashuhudia ukioza?Kuna kipindi nilikua naogopa sana yote kuhusu kifo ila baada ya kufiwa na mtu wangu wa karibu sana siogopi kifo,naogopa kuoza tu baada ya kufa.
Ulifika salama mkuu?we mshana wewe!! aaaah ujue mi nipo garini hivi then gari inaenda kasi kweli
hutaogopa kuzikwa kwa sababu utakuwa haupo. wale wakristo biblia imeandika "wafu hawajui neno lolote" kufa ni lazima wamekufa watu maarufu sana tangu kuumbwa kwa dunia sembuse sisi?Siogopi kifo ila naogopa kaburi, ile hali ya kuzikwa mwenyewe uwii nikifikiria nakosa raha!!
Muoga sana?Wakati wa usiku ndio unaleta mambo ya kutisha tisha haya utasoma mwenyewe usiku huu mi hii nitaisoma kesho, letu vitu laini sio hivi vigumu.
Ukianza kugusia hapo Mimi napata hali Fulani hv ya kutaka uendelee,ila mkuu hata hujaliSio kukaribia tu, nimeshawahi kupractice death meditation ile ya kuwekwa kabisa kwenye jeneza na kufungiwa chumba chenye giza totoro kuanzia saa sita usiku hadi saa tisa ile mida ya wanga
ETI UNAPOZIKWA TU. UNAAMSHWA THEN UNAANZA KUPAMBANA NA MICHANGA ILIYOKUFUNIKA AU SANDUKU + JOTO.Uzuri wa kifo ni kuwa
Pale ambapo kifo kipo binadamu hayupo na pale ambapo binadamu yupo kifo hakipo, ukifa unakuwa haupo so hakuna haja ya kuogopa, na unaogopa kwa kuwa upo.
Wala haina haja ya kutishana, kifo ni moja ya ugunduzi bora kabisa kuwahi tokea ulimwenguni, kinatoa chance ya kizazi kimoja kurithisha dunia kizazi kingne.